Visa ya rais

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
7,453
2,000
Wandugu naomba kufahamishwa, hivi rais anapokwenda nchi nyingine nae lazima awe na visa pamoja na msafara wake wote? Au yeye na msafara wake ni free entry? na ile diplomatic passport huwa naisikiaga tu je ni vipi? Na kama visa ni lazima kwa hiyo huwa wanakaguliwa uhalali wa visa zao kule V.I.P Airport?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom