Visa vyafikia 6,336 baada ya wagonjwa 176 kutangazwa leo

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,268
2,000
Wagonjwa wapya 176 wamethibitishwa baada ya sampuli 2,419 kupimwa ndani ya saa 24 zilizopita. Wagonjwa hao wote ni Wakenya, 100 ni Wanaume na 76 ni Wanaume

Nairobi imerekodi visa 99, Mombasa (20), Kiambu (17), Migori (13), Uasin Gishu (10), Kajiado (4), Busia (4), Kilifi (3), Machakos (2), Narok (1), Kakamega (1) na Kisumu (1)

Kenya imepima jumla ya sampuli 169,836 tangu kuanza kwa mlipuko wa COVID-19 na idadi ya vifo vilivyorekodiwa imefikia148 baada ya wagonjwa 4 kufariki dunia

===

Health CAS Rashid Aman has announced 176 new COVID-19 cases in Kenya bringing the total to 6,366.

The patients are from a sample size of 2,419 tested in the last 24 hours.

According to Dr. Aman, all the latest cases are Kenyans: 100 are male and 76 are female.

The youngest is a 3-year-old child while the oldest is 78.

Nairobi has 99 cases, Mombasa 20, Kiambu 17, Migori 13, Uasin Gishu 10, Kajiado 4, Busia 4, Kilifi 3, Machakos 2, Narok 1, Kakamega 1 and Kisumu 1.

Total cumulative samples tested since March now stands at 169,836.

In the last 24 hours, the COVID-19 death toll in the country has risen to 148 after four more patients succumbed to the virus.

However, in the same period, 26 patients were discharged bringing total recoveries to 2,039.
 

lwiva

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
6,198
2,000
Kenya vifo vimefika 378 mpaka Leo ni hatari sana wagonjwa ni zaidi ya 28000
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom