Visa vya Madawa ya kulevya vimeadimika kwa sasa sijasikia wala kuona kwa uwazi

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,305
15,033
Wakuu najiuliza vile visa vya wanajeria kukamatwa uwanja wa DSM havipo, na wa Watanzania kukamatwa nje na madawa naona haisikiki sana, Nakumbuka Kuna siku nimesafiri na Dogo mmoja tulipofika harare akawa ameishiwa pesa kabisa Akasema nimsaidie Simu ampgie msanii anaitwa ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, kwamba Huyo msanii atampatia pesa za kumfikisha joeburg kwani anafuata mzigo wa ngada , wa Huyo msanii.
 
>>> MKUU Waliokuwa wapiga DILI wakuu WENGI hawapo KTK nyadhifa Zao >>Sasa mwendo wa kazi kazi tu .hongera mh.mkuu wa NCHI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom