Visa vya COVID19 vyafikia 1,161. Waziri asema Kenya haitaagiza PPE nje na zitatengezwa nchini humo

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
2,149
2,000
Wizara ya Afya imetangaza ongezeko la visa 52 nchini humo baada ya sampuli 2,567 kupimwa ndani ya saa 24 zilizopita na jumla ya maambukizi hadi sasa ni 1,161

Waziri wa Afya, Mutahi Kagwe amesema wagonjwa watano wamepona na jumla ya waliopona imefikia 380. Vifo vilivyorekodiwa nchini humo ni 50

Wizara imekadiria maambukizi nchini humo kuwa juu miezi ya Agosti na Septemba ambapo imeelezwa kuwa huenda visa 200 vikarekodiwa kwa siku moja

Kagwe ametangaza kuwa Kenya haitoagiza vifaa kinga (PPE) nje ya nchi na badala yake, vitatengenezwa nchini humo kwakuwa viwanda vina uwezo wa kutengeneza vifaa bora zaidi kwa sasa

=======

Kenya's Covid-19 cases have risen to 1,161, with 52 new cases recorded.

This is from a sample size of 2,567 tested in the last 24 hours.

Another five people have been discharged, raising the number to 380 recoveries.

Nairobi recorded 23 new cases, Mombasa and Busia had seven each.

Health CS Mutahi Kagwe on Friday said seven health workers have been trained in the counties.

"This will now cascade downwards. Over 11,000 have gone through training," Kagwe said.

Kagwe said the ministry will provide PPEs for use by workers, adding that Kenya will no longer import the equipment.

"Our industry is now able to make better PPEs locally. The government will also recruit 5,000 community health workers to help fight the disease," he said.

He said the process of recruitment is ongoing.

"The Machakos county has completed this process and urging other counties to expedite the process," he said.

Kagwe said to keep the numbers low, Kenyans must adhere to measures as directed by the government.

The ministry has also projected that the peak of infections in the country is expected to be around August and September, when Kenyans are expected to see at least 200 cases recorded in a day.

Source: The Star
 
Dam55

JF-Expert Member
Oct 8, 2015
4,314
2,000
JPM aliposema hivi vitu vya dezo havifai hawakuelewa, sasa waache kuagiza watengeneze wenyewe hizo PPE
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
4,019
2,000
Tz tukiondowa siasa na kupima covid ki uhalisia tunaweza kupita 10,000 ya waathirika wa covid, ila tu watu wanaogopa kunyanyapwa wanakufa kimya kimya na viombo vya habari ndo hivo.......huwezi kibishana na sayansi utakua unajidaganya mwenyewe pimeni watu tujue hali yetu
 
Mango833

JF-Expert Member
May 4, 2011
3,946

Sent using Jamii Forums mobile app
Wa kazi gani? Baada ya kupima what next watu wanaugua na wanapona majumbani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KITAULO

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
1,696
2,000
Tangu Mkapa alivyowaita nyie malofa na wapumbavu mnazidi tu kujidhihirisha.
bora wale wa mkapa kuliko nyinyi wa lumumba kila kitu mnaunga mkono...hamna maamuzi binafsi kila jambo mnshobokea tu..jifunzeni kutafakari mambo na siyo kila anayepinga au kukosoa serikali ni mpinzani...sijui utakuwa lini?????????
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
17,433
2,000
Tz tukiondowa siasa na kupima covid ki uhalisia tunaweza kupita 10,000 ya waathirika wa covid, ila tu watu wanaogopa kunyanyapwa wanakufa kimya kimya na viombo vya habari ndo hivo.......huwezi kibishana na sayansi utakua unajidaganya mwenyewe pimeni watu tujue hali yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unaweza kuficha vifo vinapotokea kwa wingi, huu ugonjwa huwa unamaliza familia nzima na vijiji au mitaa kama wagonjwa hawaendi Hospitalini, wewe taja hapo mtaani kwako au kijijini kama Luna hata mtu au familia iliyopoteza mtu yeyote au anayeumwa Corona.

Wacha kujaribu kufikiria mambo yasioyokuwepo, kama kweli ungekuwepo, madaktari na manesi ndio wangekuwa watu wa mwazo kufa au kuambukiza familia zao. Umeshasikia kuna madaktari na manesi wamezuiliwa kutorudi makwao ili kuwakinga jamaa zao?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
18,147
2,000
JPM aliposema hivi vitu vya dezo havifai hawakuelewa, sasa waache kuagiza watengeneze wenyewe hizo PPE
tunasema uongo hupaa,lakini ukweli huja nyumba huku ukitungua matunda ya miti njianihaunaga haraka yaani.
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
18,147
2,000
bora wale wa mkapa kuliko nyinyi wa lumumba kila kitu mnaunga mkono...hamna maamuzi binafsi kila jambo mnshobokea tu..jifunzeni kutafakari mambo na siyo kila anayepinga au kukosoa serikali ni mpinzani...sijui utakuwa lini?????????
anayepinga na kukosoa serikali sio mpinzani.

kafuturu mkuu,swaumu imecharukia kichwani.
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
18,147
2,000
Tz tukiondowa siasa na kupima covid ki uhalisia tunaweza kupita 10,000 ya waathirika wa covid, ila tu watu wanaogopa kunyanyapwa wanakufa kimya kimya na viombo vya habari ndo hivo.......huwezi kibishana na sayansi utakua unajidaganya mwenyewe pimeni watu tujue hali yetu

Sent using Jamii Forums mobile app

mpaka sasa wamekufa watu wangapi mulwanaka??
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
4,019
2,000
Hivi unaweza kuficha vifo vinapotokea kwa wingi, huu ugonjwa huwa unamaliza familia nzima na vijiji au mitaa kama wagonjwa hawaendi Hospitalini, wewe taja hapo mtaani kwako au kijijini kama Luna hata mtu au familia iliyopoteza mtu yeyote au anayeumwa Corona.

Wacha kujaribu kufikiria mambo yasioyokuwepo, kama kweli ungekuwepo, madaktari na manesi ndio wangekuwa watu wa mwazo kufa au kuambukiza familia zao. Umeshasikia kuna madaktari na manesi wamezuiliwa kutorudi makwao ili kuwakinga jamaa zao?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali za Africa zina uwezo na uzoefu wakuficha wa kuficha hata vifo vya watu million na Rwanda Sudani Congo nk makaburi makaburi alikuja kugundulika badaye hilo nijambo rahisi kwa serikali za Africa, wewe ruhusu tu vyombo vya habari kufika hospitali kuhoji madakitari wagonjwa wafiwa na jamii utagundua kuna mengi yanagichwa mbona habari zinatoka upande mmoja, mkuu wamaabara hakupewa na fursa kujibu tuhuma zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom