tzkwanza
JF-Expert Member
- Dec 27, 2018
- 1,568
- 3,603
Si uandike hapa....Anayetaka kusaidiwa process ya kupata visa ya canada au USA ani PM
Si uandike hapa....Anayetaka kusaidiwa process ya kupata visa ya canada au USA ani PM
unique profesionalism ndio nini mkuu? Wengine tumeishia la saba B.Mimi nilienda Australia mji unaitwa perh. Nilienda kufanya kazi nikarudi. Visa ilikuwa rahisi kupata sasa sijui kwa sababu nilikuwa naenda fanya kazi. Kwanza kabisa nilituma maombi SA sababu TZ hamna ubalozi wa australia. Wakaninyima na kuniambia inabidi niombe visa kwenye nchi yangu au nchi karibu ya yangu. Nikajaza tena nikapeleka nairobi kwa njia ya DHL. wakaanza kuprocess na huku wakiniuliza maswali ya hapa na pale kwenye simu. Ila swali kubwa lilikuwa ni ulishawahi kusafiri nje ya africa? Nikawajibu no. Baada ya wiki wakanitumia kwenye email yangu elecronic visa. Australia wanajali sana unique professionalism.
Asante. Nitafuata taratibu nataka niende likizo moja huko. Ila nasikia kuna nyoka sana. Naogopa sana nyoka.Mimi nilienda Australia mji unaitwa perh. Nilienda kufanya kazi nikarudi. Visa ilikuwa rahisi kupata sasa sijui kwa sababu nilikuwa naenda fanya kazi. Kwanza kabisa nilituma maombi SA sababu TZ hamna ubalozi wa australia. Wakaninyima na kuniambia inabidi niombe visa kwenye nchi yangu au nchi karibu ya yangu. Nikajaza tena nikapeleka nairobi kwa njia ya DHL. wakaanza kuprocess na huku wakiniuliza maswali ya hapa na pale kwenye simu. Ila swali kubwa lilikuwa ni ulishawahi kusafiri nje ya africa? Nikawajibu no. Baada ya wiki wakanitumia kwenye email yangu elecronic visa. Australia wanajali sana unique professionalism.
Wewe waogopa Nyoka gani bwana acha kutochora. Hilo pango nyoka daily wanapenyaAsante. Nitafuata taratibu nataka niende likizo moja huko. Ila nasikia kuna nyoka sana. Naogopa sana nyoka.
Wewe mwehu kweli.Wewe waogopa Nyoka gani bwana acha kutochora. Hilo pango nyoka daily wanapenya
Yeah alafu wanasumu sana. Pia kuna nzi wakubwa sana. Boarder control pia ipo juu sana. Public transport yao ipo bomba pia. Ukipanda public transport kuzunguka mjini free. Mfano labda unatoka posta unaenda mwenge hulipi nauli totally free mizunguko ya mjini. Ukitoka nje ya mji labda kibaha hivi ndio unalipa nauli. Na ukishuka kwenye public transport kama umefika safari yako lazima useme thank you to the driver.Asante. Nitafuata taratibu nataka niende likizo moja huko. Ila nasikia kuna nyoka sana. Naogopa sana nyoka.
Jiandae kutumia mpaka masaa 17 kwenye ndegeAsante. Nitafuata taratibu nataka niende likizo moja huko. Ila nasikia kuna nyoka sana. Naogopa sana nyoka.
unique proffesional kama ipi? ndg..Mimi nilienda Australia mji unaitwa perh. Nilienda kufanya kazi nikarudi. Visa ilikuwa rahisi kupata sasa sijui kwa sababu nilikuwa naenda fanya kazi. Kwanza kabisa nilituma maombi SA sababu TZ hamna ubalozi wa australia. Wakaninyima na kuniambia inabidi niombe visa kwenye nchi yangu au nchi karibu ya yangu. Nikajaza tena nikapeleka nairobi kwa njia ya DHL. wakaanza kuprocess na huku wakiniuliza maswali ya hapa na pale kwenye simu. Ila swali kubwa lilikuwa ni ulishawahi kusafiri nje ya africa? Nikawajibu no. Baada ya wiki wakanitumia kwenye email yangu elecronic visa. Australia wanajali sana unique professionalism.
Omba chuo ukipata admission visa unapata kirahisi tu.Njia ya kwenda kusoma ndio njia rahisi kuliko zote ya kupata visa nchi yoyoteKwani unajua umri na status yangu ? Yaani hata kupata visa ya kwenda tu hapo Kenya ni mtihani. Nisaidie jinsi ya kupata visa ya kwenda Australia jamani.
kwenye hiyo admision hawatahitaji uwe umelipia fee japo kidogo?ukizingatia huna mpango wa kusoma.Omba chuo ukipata admission visa unapata kirahisi tu.Njia ya kwenda kusoma ndio njia rahisi kuliko zote ya kupata visa nchi yoyote
unique proffesional kama ipi? ndg..
Habari mkuuAnayetaka kusaidiwa process ya kupata visa ya canada au USA ani PM
Habar mkuu bado unatafta visa ya ukraineHabari wakuu, naomba njia za kupata visa ya Ukraine na je vitu gani vinatakiwa nkienda kuomba visa. Nmepata admission ya chuo uko.
Tunaenda kwa wanaojielewa.Mnatak kwenda waap? Hamtaki kushuhudia TZ ya viwanda???
Hapana kiongozi, nilishaenda na sasa niko nchi nyingine.Habar mkuu bado unatafta visa ya ukraine
Oya check pm yako kuna ishu tujadili.Habar mkuu bado unatafta visa ya ukraine