Visa nilivyoshuhudia kwa ndugu yangu Mtaalam wa Tiba za Asili

Kuna kipindi nilikua naota sana ndoto za kupaa, wananikimbiza na kurusha mawe lkn hawanipati
Ulikuwa na nguvu za Mungu.....Kazana sana urudie hali hiyo yaani hakuna jini wala mchawi atakaye kugusa..............!!
 
Wajameni bongo kutoboa kama huna Mungu basi uwe na mganga sugu anayekufanyia manuva,yaani kijiji nilichokulia hapa kuna wanga balaa,huwezi amini mbaka kuna mama mmoja alikua ni mwinjilisti na kitaa aliheshimika kama mtumishi aisee mwaka juzi kadakwa sehemu live anawanga alienda kwa aliyemzidi nguvu daaa hata sikuamini ukimwona madhabahuni anahubiri utatamani akufanyie Sara ya toba kumbe yelewiiiiiii ni grade 1 night walker witch!
Wanafiki saanaaa
 
Wala haumfaidi hivyo mkuu, mnapiga mzigo wee ukitaka kukojoa anakutoa apo haraka unakojoa nje, sasa akawa ananiongezea ile hamu ya kutaka nimkojolee ndani lkn kila akija ndio inakua hivyo hivyo hadi siku nyingine naamka nimekasirika
Umekasirika tena??? ... Sasa si ungemshauri awe anakuja na ndomu kabsa Ili usipizi ndan
 
Mie sio mshamba tatizo hunijui ndio maana unasema hivyo anyway sio kesi. Kwa taarifa yako mie sio kwamba sipendi hiyo simulizi ila kitu ambacho sikipendi na kimekuwa tabia humu ni kuleta simulizi halafu baadae kuomba hela za vocha au kutuhamishia Telegram.

Kwa kusema kwangu inasaidia hata watoa mada matapeli kujistukia. Nimetumia akili tu kwa manufaa ya wote. Ila kwa kuwa wengi humu akili fupi wanaona kama nazingua. Haiwezekani mtu alete story anaandika kwa siku line nane anakaa siku mbili ndio anaendelea hilo halikubaliki.

Nimeuliza kwa kuwa nafuatilia story na pia kuna la kujifunza kwenye hii story ila siku ikiishia kama zile zingine wallah napendekeza mtoa story apigwe BAN ya milele imekuwa trends sasa kuleta mahadithi nusu nusu au kuleta mapozi kwenye mwendelezo. Na hii ndio inasababisha kisa kimoja kuwa na mavisa kibao ndani yake mpk unasahau story ya mwanzo
Sasa kuombwa pesa ya vocha ndio kutapeliwa???... kuombwa uchangie kwa hiari yako ili upate premium service ndio utapeli.. mbona sehem nyingi tuuu kunakuwaga na donation za hiari kama auko intrested unapotezea....

Lakini naamini huuu uzi hautafikia huko
 
Hawalipi wakila mfano mdogo mke wangu walimu wakiamua anaweza safiri mkoa wowote na akakuta amesafiri amekula anachotaka hela yake haijapungua hata mia akifika akiuliza namzuga zuga basi anaachana nayo,au tulipo akiwa na majonzi sana au stress wanampelekaga kwenye ice cream za huyu mwekezaji mkubwa katika jengo lake atakula ice cream kiwango anachotaka atasahau stress zake zote hapo akitoka anatoka na kopo moja tu akizidiaha hawezi pita mlangoni hadi awe na kopo moja wanaweza kuchukua form ya binadamu au pia wanaweza tumia form yao au kutumia mtu wa kawaida unaweza jikuta unakula kuliko kiwango chako kumbe unashare.
Hii mada ya majini wanavyoingia kwenye mwili wa binadamu daaah acha tu nina vingi sana hapa navijua mpaka kuna muda nabaki kustaajabu tu....
 
Hawalipi wakila mfano mdogo mke wangu walimu wakiamua anaweza safiri mkoa wowote na akakuta amesafiri amekula anachotaka hela yake haijapungua hata mia akifika akiuliza namzuga zuga basi anaachana nayo,au tulipo akiwa na majonzi sana au stress wanampelekaga kwenye ice cream za huyu mwekezaji mkubwa katika jengo lake atakula ice cream kiwango anachotaka atasahau stress zake zote hapo akitoka anatoka na kopo moja tu akizidiaha hawezi pita mlangoni hadi awe na kopo moja wanaweza kuchukua form ya binadamu au pia wanaweza tumia form yao au kutumia mtu wa kawaida unaweza jikuta unakula kuliko kiwango chako kumbe unashare.
Mkuu hujanjibu mti wa kivumbasi ndio mti gani ufafanuzi please Kama hautajali?
 
Nikitulia na mimi nitaleka kisa kimoja jinsi nilivyokwenda huko Njombe kwa mganga kumtupia adui yangu UKIMWI wa kishirikina , hawa jamaa walinifanyia kitu kibaya mno kibiashara asee acheni tu
Uni-tag mkuu
 
Mkuu hujanjibu mti wa kivumbasi ndio mti gani ufafanuzi please Kama hautajari ? .
Huu mmea ndio kivumbasi
images%20(24).jpg
 
Back
Top Bottom