Wewe jamaa utaishi Maisha marefu. Una vituko sana😁😁😁😁
Ndo mwenye Id nyingine the thetallest hovyo Sana hii mijituHuyo chopa angejiita helikopta kabisa - yaani ni chuki binafsi kwa kwenda mbele:
View attachment 2017257
Haieleweki hataki nini au anataka nini.
Bila shaka ni mrembo kuliko hata mama D.
Ndo mwenye Id nyingine the thetallest hovyo Sana hii mijitu
Soma wewe uelewe mkuu. Una utaalamu na hii kitu au unazungumza tu? Huoni kuna some rational reason behind ndege mbili za shirika moja kujaribu kutua same airport iliyo under construction same day within 2.5 hours of each other? Umejaribu kufuatilia ET wametoa maelezo gani kuhusu hizi incidents au umeishiai ku insinuate "innate inferioty" of Africans?Zisome vizuri comments zote. Usisahau hata ya Magonjwa Mtambuka nayo inaweza kuwemo humo 😁😁.
Haya ni maajabu ya Mussa yanayoweza kutokea Afrika tu
"... mtanikumbuka kwa mazuri..."Mkuu roho za korosho za nini ndugu yangu?
Hata kina Adamoo wangewaachia tu.
Tujenge nchi yetu. Hatuna magaidi hapa!
Au nasema uongo ndugu zangu?
Hii bila kukusahauni johnthebaptist na Jumbe Brown japo kwa majina yenu wakuu 😁😁.
Wewe una utaalamu na hii kitu au unazungumza tu?
Mimi nimekuelewa mleta mada,ila hapa kunatatizo la IQ kwa baadhi ya wachangiaji.
"... mtanikumbuka kwa mazuri..."
Pana haja ya hata ya kukumbushana wataalamu wa hizo vitu waliko?
Boeing: The Boeing Company: General Information
Ndege inatokana nje ya nchi inakwenda kutua hadi kufikia 10m kutoka ardhini aliyekuwa nayo hajui kuwa amepotea njia?
Kama vile haitoshi na ndege nyingine kampuni hiyo hiyo inafanya hayo hayo.
Haya si ya Einstein - "doing the same thing over and over,expecting different results." Kuna haja ya kuita jina uzuri? Hiyo si ndiyo insanity sasa?
Ndege zinatua viwanjani zikishirikisha vyema control towers husika.
Wewe lengo lako ni malumbano ya hoja za kisiasa. Hii ishu ya ndege umeingia cha kike bora ungetafuta mfano mwingine sababu hujui chochote.
Wee mbuzi subiri hadi J3 utupe mrejesho kwenye kesi ya basha lako Mbowe. Haya mambo ya ndege huna weledi nayo.
Mtu mweusi unasikia ni IGP unadhani ni mtu aliyeelevuka kweli kweli kumbe sio.Kama sinema vile madege ya Ethiopian airlines hutua viwanjani kwa hisia huku yamebeba abiria:
Ethiopian Airlines Airbus A350 Suffers Wing Tip Strike During Landing
Mtu anaweza vipi tua dege kwa kusikiliza wazimu wake tu?
View attachment 2016618
Siyo case 1 bali ni case baada ya case na katika kipindi kifupi.
Haya yanawezekana namna gani?
Haya si ndiyo yale mambo yetu kama haya na kina Sirro, Siyani, Tiganga, Majaliwa, Mwambe, Makamba nk? Mambo kama haya yanatokea hivi kwa wenzetu walio staarabika kweli?
Pana haja ya kumkagua mtu mweusi vizuri. Kumbe tunaweza walaumu kina Majaliwa na wenzao kwa kuwaonea.
Yawezekana tuna matatizo ya ndani kwa ndani.
Yawezekana siyo bure.
Wee mbuzi subiri J3 utupe mrejesho kwenye kesi ya basha lako. Haya mambo yandege huna weledi nayo.
Hizi hasira utakuwa huna umeme tu.
Hiyo nadhani ilikua emergency landing! Mpongeze pilot aliye tua ndege hapo kwa kuokoa maisha ya watu
Sahihisho:
Kilichotokea Arusha. Siku Ethiopian (B767) inawasili KIA, kuna ndege ndogo ilipata breakdown mwanzoni mwa runway. Control tower ya KIA wakamuelekeza pilot wa Ethiopian afanye emergency landing kwenye uwanja mdogo wa Arusha. Pilot akaishusha B767 Arusha na kumaliza runway yote tairi la mbele likaishia kwenye mchanga. Siku ya kuichukua wakaja na wakaguzi, mafundi na mapilot nguli wao. Wakapunguza baadhi ya fixtures kupunguza uzito na kufanikiwa kuirusha toka pale.
Ajali ya Ethiopian B737 Max 8 ni habari ya kimataifa iliyotikisa na kuleta mabadiliko makubwa huko Boeing na FAA. Haihitaji maelezo zaidi kwa mtu anayefuatilia international affairs.
Certainly Ethiopian haijafikia viwango vya Emirates, Qatar, Etihad, BA, na mashirika kadhaa ya nchi tajiri. LAKINI sio shirika la ovyo kiasi hicho ulichoelezea hapa. Kwa Waafrika tena nchi masikini kiasi kile, wanajitahidi sana.
Flight incidents na accidents ulizoeleza hapa hutokea mara kwa mara duniani kote na zinakuwa noted. Tatizo la crosswinds, maelekezo mabaya ya atc, poor visibility, defective instruments, ni common occurrences. Ukiweza kupitia accident records zinazotunzwa na CAAs, FAA, ICAO, IATA n.k. utaelewa.
..kutua ktk uwanja mdogo wa arusha si walielekezwa na control tower ya kia?Kama kweli unachokieleza hapa ndicho kilichopelekea jamaa kushauriwa watue Arusha, wanabahati sana hayakutokea madhara makubwa. Ndege ingeweza kupitiliza ikapinduka au kugonga vitu ikalipuka. Urefu wa uwanja wa Arusha unafahamika, ukubwa na uwezo wa ndege ya Ethipoia hali kadhalika unafahamika, kimsingi ni nadra sana ndege itue pale bila kupata mushkel.
Kwa akili zangu bora ndege ingetua kwa kuanzia upande wenye ndege ndogo iliyopata hitilafu mwanzo wa uwanja ikamalizia safari yake upande ulio salama.
Najua kuna factor ya mwelekeo wa upepo unaoamua ndege itue kuelekea upande upi ( kutua Arusha ilikua maamuzi mabovu).
..kutua ktk uwanja mdogo wa arusha si walielekezwa na control tower ya kia?
..na kama waliweza kuiteremsha hiyo ndege bila madhara huenda they are good at what they are doing.