10.ona ya kina lema na wizi wa magari
11.ona ya kina lisu ya udalali wa madini Mzee wa miga
12.ona ya kina mbowe na ugaidi
13.ona ya chadema kuuza fomu ya mgombea uraisi kwa ticket ya CDM kwa mwana CCM (lowasa)
Ila huyu Mh.au ndio siasa?jamani seriously??alishawahi kusema kwa hiyo watu mnataka kumwona raisi magomeni,au kariakoo anatembea??raisi ni mzima anawasalimia na anachapa kazi.Kumbe muda haukuwa upande wake.Hiyo list ni ya rational thinkers kwa hakika huwezi kuonyesha popote ilipowahi kupiga fyongo. Waone wenzio hapa:
View attachment 2016660
Au nasema uongo ndugu zangu?
Ila huyu Mh.au ndio siasa?jamani seriously??alishawahi kusema kwa hiyo watu mnataka kumwona raisi magomeni,au kariakoo anatembea??raisi ni mzima anawasalimia na anachapa kazi.Kumbe muda haukuwa upande wake.
Ulikuwa mfalme, ndege nzima ukapewa chakula peke yako! Wengi wenu mnadhani EAL imeanza hivi karibuni, EAL ni shirika linalojitegemea kiuendeshaji, pamoja na vita nchini Uhabeshi miaka ya sabini na matatizo yote ya kisiasa shirika lilikuwa linachapa kazi kama si la Uhabeshi! Halikutetereka huku sisi ATC tukisingizia vita!
Uzi huu hauisaidi lolote ATCL kuacha kuatamia eapoti, muda wa kutotoa umepita hayo mayai sasa ni viza wauziwe waganga wa kienyeji.
Sijui tuna laana gani. Na mbaya zaidi watu wanajivunia uovu!!
nilitegemea comment hii kutoka kwa m-bongoPoint. Mtoa mada kapanda Ethiopian kaona kayapatia
Umelewa au?soma ulichoandika na nilichoandika kisha urudi hapa.Ulikuwa mfalme, ndege nzima ukapewa chakula peke yako! Wengi wenu mnadhani EAL imeanza hivi karibuni, EAL ni shirika linalojitegemea kiuendeshaji, pamoja na vita nchini Uhabeshi miaka ya sabini na matatizo yote ya kisiasa shirika lilikuwa linachapa kazi kama si la Uhabeshi! Halikutetereka huku sisi ATC tukisingizia vita!
Uzi huu hauisaidi lolote ATCL kuacha kuatamia eapoti, muda wa kutotoa umepita hayo mayai sasa ni viza wauziwe waganga wa kienyeji.
ATCL imetajwa wapi kwenye safari 6 nilizowahi kutumia ndege yenu?Ulikuwa mfalme, ndege nzima ukapewa chakula peke yako! Wengi wenu mnadhani EAL imeanza hivi karibuni, EAL ni shirika linalojitegemea kiuendeshaji, pamoja na vita nchini Uhabeshi miaka ya sabini na matatizo yote ya kisiasa shirika lilikuwa linachapa kazi kama si la Uhabeshi! Halikutetereka huku sisi ATC tukisingizia vita!
Uzi huu hauisaidi lolote ATCL kuacha kuatamia eapoti, muda wa kutotoa umepita hayo mayai sasa ni viza wauziwe waganga wa kienyeji.
Hii ilikuwa ni moja kati ya airlines bora kabisa Afrika kwenye miaka ya themanini na tisini. Sijui wamefikwa na nini leo hii, kweli kwa Afrika uzee ndiyo unakuwa shida badala ya kuwa busara.Mizigo ya watu kuchelewa au hata kupotea kabisa kwenye ndege za hawa jamaa ni mambo ya kawaida sana. Kweli Waafrika bado tuna safari ndeefu sana kuelekea kwenye ufanisi wa kweli wa mambo yetu
Nakumbuka liliwahi kutua Arusha Airport, na haina hata barabara ya kutoshea boeng...Ndege ikakita mwisho kabisa wa running way mpaka likakaa upande.
Siku linaondoka ilikuwa ni drama, inasemekana walilazimika kumleta Mtaalamu anayeweza kuiinua kwenye running way fupi...na akafanikisha.
Hii ilikuwa ni moja kati ya airlines bora kabisa Afrika kwenye miaka ya themanini na tisini. Sijui wamefikwa na nini leo hii, kweli kwa Afrika uzee ndiyo unakuwa shida badala ya kuwa busara.
Soma comments kwenye hii habari chini. Ni jambo ambalo linaelezeka/eleweka kwa marubani wabobezi.Kama sinema vile madege ya Ethiopian airlines hutua viwanjani kwa hisia huku yamebeba abiria:
Ethiopian Airlines Airbus A350 Suffers Wing Tip Strike During Landing
Mtu anaweza vipi tua dege kwa kusikiliza wazimu wake tu?
View attachment 2016618
Siyo case 1 bali ni case baada ya case na katika kipindi kifupi.
Haya yanawezekana namna gani?
Haya si ndiyo yale mambo yetu kama haya na kina Sirro, Siyani, Tiganga, Majaliwa, Mwambe, Makamba nk? Mambo kama haya yanatokea hivi kwa wenzetu walio staarabika kweli?
Pana haja ya kumkagua mtu mweusi vizuri. Kumbe tunaweza walaumu kina Majaliwa na wenzao kwa kuwaonea.
Yawezekana tuna matatizo ya ndani kwa ndani.
Yawezekana siyo bure.
Hiyo nadhani ilikua emergency landing! Mpongeze pilot aliye tua ndege hapo kwa kuokoa maisha ya watuNakumbuka liliwahi kutua Arusha Airport, na haina hata barabara ya kutoshea boeng...Ndege ikakita mwisho kabisa wa running way mpaka likakaa upande.
Siku linaondoka ilikuwa ni drama, inasemekana walilazimika kumleta Mtaalamu anayeweza kuiinua kwenye running way fupi...na akafanikisha.
Huu ni Wenda wazimu wenyewe.
Pale Addis wamesha angusha chapa Max 2 mpya. Yawezekana wala si makosa ya mtengenezaji.
Ni siri iliyo wazi - hawafai.
Point. Mtoa mada kapanda Ethiopian kaona kayapatia
Sahihisho:
Kilichotokea Arusha. Siku Ethiopian (B767) inawasili KIA, kuna ndege ndogo ilipata breakdown mwanzoni mwa runway. Control tower ya KIA wakamuelekeza pilot wa Ethiopian afanye emergency landing kwenye uwanja mdogo wa Arusha. Pilot akaishusha B767 Arusha na kumaliza runway yote tairi la mbele likaishia kwenye mchanga. Siku ya kuichukua wakaja na wakaguzi, mafundi na mapilot nguli wao. Wakapunguza baadhi ya fixtures kupunguza uzito na kufanikiwa kuirusha toka pale.
Ajali ya Ethiopian B737 Max 8 ni habari ya kimataifa iliyotikisa na kuleta mabadiliko makubwa huko Boeing na FAA. Haihitaji maelezo zaidi kwa mtu anayefuatilia international affairs.
Certainly Ethiopian haijafikia viwango vya Emirates, Qatar, Etihad, BA, na mashirika kadhaa ya nchi tajiri. LAKINI sio shirika la ovyo kiasi hicho ulichoelezea hapa. Kwa Waafrika tena nchi masikini kiasi kile, wanajitahidi sana.
Flight incidents na accidents ulizoeleza hapa hutokea mara kwa mara duniani kote na zinakuwa noted. Tatizo la crosswinds, maelekezo mabaya ya atc, poor visibility, defective instruments, ni common occurrences. Ukiweza kupitia accident records zinazotunzwa na CAAs, FAA, ICAO, IATA n.k. utaelewa.
nilitegemea comment hii kutoka kwa m-bongo
Soma comments kwenye hii habari chini. Ni jambo ambalo linaelezeka/eleweka kwa marubani wabobezi.
Wewe jamaa utaishi Maisha marefu. Una vituko sana๐๐๐๐