Visa na Mikasa ya Ethiopian Airlines - Waafrika Kulikoni?

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,824
35,827
Kama sinema vile madege ya Ethiopian airlines hutua viwanjani kwa hisia huku yamebeba abiria:

Ethiopian Airlines Airbus A350 Suffers Wing Tip Strike During Landing

Mtu anaweza vipi tua dege kwa kusikiliza wazimu wake tu?

IMG_20211119_201041_287.jpg

Siyo case 1 bali ni case baada ya case na katika kipindi kifupi.

Haya yanawezekana namna gani?

Haya si ndiyo yale mambo yetu kama haya na kina Sirro, Siyani, Tiganga, Majaliwa, Mwambe, Makamba nk? Mambo kama haya yanatokea hivi kwa wenzetu walio staarabika kweli?

Pana haja ya kumkagua mtu mweusi vizuri. Kumbe tunaweza walaumu kina Majaliwa na wenzao kwa kuwaonea.

Yawezekana tuna matatizo ya ndani kwa ndani.

Yawezekana siyo bure.
 
Kama sinema vile madege ya Ethiopian airlines hutua viwanjani kwa hisia huku yamebeba abiria:

Ethiopian Airlines Airbus A350 Suffers Wing Tip Strike During Landing

Mtu anaweza vipi tua dege kwa kusikiliza wazimu wake tu?

View attachment 2016618

Tafuta pesa ndugu.
 
Inategemea na route unazokwenda , route nyingine huna namna zaidi ya kuwavagaa Ethiopians

Mara nyingi KQ au SAA huwepo pia kama possible alternative kwenye jaribu njia zote wanazopita hao ma novice.

Kwa hakika hawafai.
 
Nakumbuka liliwahi kutua Arusha Airport, na haina hata barabara ya kutoshea boeng...Ndege ikakita mwisho kabisa wa running way mpaka likakaa upande.

Siku linaondoka ilikuwa ni drama, inasemekana walilazimika kumleta Mtaalamu anayeweza kuiinua kwenye running way fupi...na akafanikisha.
 
Huu ni Wenda wazimu wenyewe.

Pale Addis wamesha angusha chapa Max 2 mpya. Yawezekana wala si makosa ya mtengenezaji.

Ni siri iliyo wazi - hawafai.
 
Kama sinema vile madege ya Ethiopian airlines hutua viwanjani kwa hisia huku yamebeba abiria:

Ethiopian Airlines Airbus A350 Suffers Wing Tip Strike During Landing

Mtu anaweza vipi tua dege kwa kusikiliza wazimu wake tu?

View attachment 2016618

Siyo case 1 bali ni case baada ya case na katika kipindi kifupi.

Haya yanawezekana namna gani?

Haya si ndiyo yale mambo yetu kama haya na kina Sirro, Siyani, Tiganga, Majaliwa, Mwambe, Makamba nk? Mambo kama haya yanatokea hivi kwa wenzetu walio staarabika kweli?

Pana haja ya kumkagua mtu mweusi vizuri. Kumbe tunaweza walaumu kina Majaliwa na wenzao kwa kuwaonea.

Yawezekana tuna matatizo ya ndani kwa ndani.

Yawezekana siyo bure.
Nina shaka na habari hii.

Ni kama inatoka kwa mshindani wa Ethiopian, ambaye ameshindwa kwa njia zingine zote za kuishusha Ethiopian, sasa anaona heri aweke kampeni ya kupaka matope.

Mambo kama haya hutokea sana katika shughuli za kibiashara.
 
Mizigo ya watu kuchelewa au hata kupotea kabisa kwenye ndege za hawa jamaa ni mambo ya kawaida sana. Kweli Waafrika bado tuna safari ndeefu sana kuelekea kwenye ufanisi wa kweli wa mambo yetu
Hiyo kawaida tu,hapo Dar Airport nilifika begi halijaja mpk kulipata 3 days.
Kwa usumbufu kibao, mara ya mwisho nilipewa chakula nahara njia nzima siku 3 badae ndio nikawa sawa.
Turkey na Qatar Airlines wako vizuri kuna mambo madogo tu yanavumilika.
Ethiopian Airlines tulivunja safari zamani sana.
 
Ulikuwa mfalme, ndege nzima ukapewa chakula peke yako! Wengi wenu mnadhani EAL imeanza hivi karibuni, EAL ni shirika linalojitegemea kiuendeshaji, pamoja na vita nchini Uhabeshi miaka ya sabini na matatizo yote ya kisiasa shirika lilikuwa linachapa kazi kama si la Uhabeshi! Halikutetereka huku sisi ATC tukisingizia vita!
Uzi huu hauisaidi lolote ATCL kuacha kuatamia eapoti, muda wa kutotoa umepita hayo mayai sasa ni viza wauziwe waganga wa kienyeji.
 
Yawezekana tuna matatizo ya ndani kwa ndani.

Yawezekana siyo bure.
Huo ndio ukweli.
Haswa waafrika wa Tanzania, ukiona watu wananyanyaswa na kukandamizwa kwa kila hali na chama cha siasa lakini bado wanakiacha madarakani kwa miaka 60...hao watu ni zaidi ya wafu!
 
Kama sinema vile madege ya Ethiopian airlines hutua viwanjani kwa hisia huku yamebeba abiria:

Ethiopian Airlines Airbus A350 Suffers Wing Tip Strike During Landing

Mtu anaweza vipi tua dege kwa kusikiliza wazimu wake tu?

View attachment 2016618

Siyo case 1 bali ni case baada ya case na katika kipindi kifupi.

Haya yanawezekana namna gani?

Haya si ndiyo yale mambo yetu kama haya na kina Sirro, Siyani, Tiganga, Majaliwa, Mwambe, Makamba nk? Mambo kama haya yanatokea hivi kwa wenzetu walio staarabika kweli?

Pana haja ya kumkagua mtu mweusi vizuri. Kumbe tunaweza walaumu kina Majaliwa na wenzao kwa kuwaonea.

Yawezekana tuna matatizo ya ndani kwa ndani.

Yawezekana siyo bure.
Lack of sense.
 
Back
Top Bottom