Visa na Mikasa ya Ethiopian Airlines - Waafrika Kulikoni?

Schmidt

JF-Expert Member
Aug 29, 2008
5,473
2,000
Pana haja ya hata ya kukumbushana wataalamu wa hizo vitu waliko?

Boeing: The Boeing Company: General Information

Ndege inatokana nje ya nchi inakwenda kutua hadi kufikia 10m kutoka ardhini aliyekuwa nayo hajui kuwa amepotea njia?

Kama vile haitoshi na ndege nyingine kampuni hiyo hiyo inafanya hayo hayo.

Haya si ya Einstein - "doing the same thing over and over,expecting different results." Kuna haja ya kuita jina uzuri? Hiyo si ndiyo insanity sasa?

Ndege zinatua viwanjani zikishirikisha vyema control towers husika.

Wewe lengo lako ni malumbano ya hoja za kisiasa. Hii ishu ya ndege umeingia cha kike bora ungetafuta mfano mwingine sababu hujui chochote.
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
16,451

Wewe si Jaji kama Tiganga kutoa hukumu yoyote.

Hoja iko wazi kuna madege marubani hawafai. Bahati mbaya tuna wengine makwetu nao hawafai pia.

Cha kike umejisokomeza wewe. Huna lolote unalolijua.

Habari ndiyo hiyo.
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
21,500
2,000
Kama sinema vile madege ya Ethiopian airlines hutua viwanjani kwa hisia huku yamebeba abiria:

Ethiopian Airlines Airbus A350 Suffers Wing Tip Strike During Landing

Mtu anaweza vipi tua dege kwa kusikiliza wazimu wake tu?

View attachment 2016618

Siyo case 1 bali ni case baada ya case na katika kipindi kifupi.

Haya yanawezekana namna gani?

Haya si ndiyo yale mambo yetu kama haya na kina Sirro, Siyani, Tiganga, Majaliwa, Mwambe, Makamba nk? Mambo kama haya yanatokea hivi kwa wenzetu walio staarabika kweli?

Pana haja ya kumkagua mtu mweusi vizuri. Kumbe tunaweza walaumu kina Majaliwa na wenzao kwa kuwaonea.

Yawezekana tuna matatizo ya ndani kwa ndani.

Yawezekana siyo bure.
Mtu mweusi unasikia ni IGP unadhani ni mtu aliyeelevuka kweli kweli kumbe sio.

Ukisikia ni Jaji utadhani ni mtu wa maana sana kumbe ni kinyumr chake. Mtu mweusi usimtambue kwa title.
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
16,451
2,000
Wee mbuzi subiri J3 utupe mrejesho kwenye kesi ya basha lako. Haya mambo yandege huna weledi nayo.

JF raha sana. Sawa mbuzi jike. Eti mtalaamu wa ndege.

IMG_20210906_210504_636.jpg

Mtalaamu wa ndege uwe wewe? Una nini cha kumwambia nani wewe?

IMG_20211118_181728_474.jpg

Kawaambie waliokutuma, hatudanganyiki!
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
16,451
2,000
Hiyo nadhani ilikua emergency landing! Mpongeze pilot aliye tua ndege hapo kwa kuokoa maisha ya watu

Ni muhimu kutofautisha emergency landing na diverted flight.

KIA - Arusha na kutua Arusha, haikuwa emergency landing bali ilikuwa ni diverted flight.
 
The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
17,237
2,000
Sahihisho:

Kilichotokea Arusha. Siku Ethiopian (B767) inawasili KIA, kuna ndege ndogo ilipata breakdown mwanzoni mwa runway. Control tower ya KIA wakamuelekeza pilot wa Ethiopian afanye emergency landing kwenye uwanja mdogo wa Arusha. Pilot akaishusha B767 Arusha na kumaliza runway yote tairi la mbele likaishia kwenye mchanga. Siku ya kuichukua wakaja na wakaguzi, mafundi na mapilot nguli wao. Wakapunguza baadhi ya fixtures kupunguza uzito na kufanikiwa kuirusha toka pale.

Ajali ya Ethiopian B737 Max 8 ni habari ya kimataifa iliyotikisa na kuleta mabadiliko makubwa huko Boeing na FAA. Haihitaji maelezo zaidi kwa mtu anayefuatilia international affairs.

Certainly Ethiopian haijafikia viwango vya Emirates, Qatar, Etihad, BA, na mashirika kadhaa ya nchi tajiri. LAKINI sio shirika la ovyo kiasi hicho ulichoelezea hapa. Kwa Waafrika tena nchi masikini kiasi kile, wanajitahidi sana.

Flight incidents na accidents ulizoeleza hapa hutokea mara kwa mara duniani kote na zinakuwa noted. Tatizo la crosswinds, maelekezo mabaya ya atc, poor visibility, defective instruments, ni common occurrences. Ukiweza kupitia accident records zinazotunzwa na CAAs, FAA, ICAO, IATA n.k. utaelewa.

Kama kweli unachokieleza hapa ndicho kilichopelekea jamaa kushauriwa watue Arusha, wanabahati sana hayakutokea madhara makubwa. Ndege ingeweza kupitiliza ikapinduka au kugonga vitu ikalipuka. Urefu wa uwanja wa Arusha unafahamika, ukubwa na uwezo wa ndege ya Ethipoia hali kadhalika unafahamika, kimsingi ni nadra sana ndege itue pale bila kupata mushkel.

Kwa akili zangu bora ndege ingetua kwa kuanzia upande wenye ndege ndogo iliyopata hitilafu mwanzo wa uwanja ikamalizia safari yake upande ulio salama.

Najua kuna factor ya mwelekeo wa upepo unaoamua ndege itue kuelekea upande upi ( kutua Arusha ilikua maamuzi mabovu).
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
24,569

..kutua ktk uwanja mdogo wa arusha si walielekezwa na control tower ya kia?

..na kama waliweza kuiteremsha hiyo ndege bila madhara huenda they are good at what they are doing.
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
16,451
2,000
..kutua ktk uwanja mdogo wa arusha si walielekezwa na control tower ya kia?

..na kama waliweza kuiteremsha hiyo ndege bila madhara huenda they are good at what they are doing.

Ndege ilikuwa diverted kwenda Arusha vigezo vyote vikiwa vimezingatiwa.

Ingeweza kuelekezwa Jomo Kenyatta, Mwanza, Zanzibar, Mombasa au hata JKNIA kama ingekuwa lazima Kwamba Arusha pana walakini.

Umapepe wa hawa ndugu kwa kuzingatia rekodi zao hauwezi kupuuzwa jumla kwenye yaliyofuata baada ya kufika Arusha.

NB: Hii haikuwa emergency landing.
 
mtu kitu

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
686
500
Kama sinema vile madege ya Ethiopian airlines hutua viwanjani kwa hisia huku yamebeba abiria:

Ethiopian Airlines Airbus A350 Suffers Wing Tip Strike During Landing

Mtu anaweza vipi tua dege kwa kusikiliza wazimu wake tu?

View attachment 2016618

Siyo case 1 bali ni case baada ya case na katika kipindi kifupi.

Haya yanawezekana namna gani?

Haya si ndiyo yale mambo yetu kama haya na kina Sirro, Siyani, Tiganga, Majaliwa, Mwambe, Makamba nk? Mambo kama haya yanatokea hivi kwa wenzetu walio staarabika kweli?

Pana haja ya kumkagua mtu mweusi vizuri. Kumbe tunaweza walaumu kina Majaliwa na wenzao kwa kuwaonea.

Yawezekana tuna matatizo ya ndani kwa ndani.

Yawezekana siyo bure.
Hata WAZUNGU hufanya hayo.
 
The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
17,237
2,000
..kutua ktk uwanja mdogo wa arusha si walielekezwa na control tower ya kia?

..na kama waliweza kuiteremsha hiyo ndege bila madhara huenda they are good at what they are doing.

Madhara yalikuwepo sema hayakua makubwa sana. Can you imagine ndege imeenda hadi ikamaliza runway tairi ikaenda kujikita kwenye tope?

Ingeweza kupata madhara makubwa ikiwepo kulipuka kama ingejigonga kwenye chochote au kupinduka kwa kukosa balance baada ya kuingia barabara isiyo na lami.

Nakumbuka KQ imewahi kupata hitilafu mara baada ya kuruka ikitokea Zimbabwe kama sio Zambia, mjadala ulikua mrefu kwamva itue au nini kifanyike, mtaalam mmoja akashauri iruke hadi Kenya ili kupunguza uzito kwa kuwa mafuta yatapungua kwa kutumika wakati wa safari. Ilitua Kenya kwa tahadhari kubwa sana kwa sababu hitilafu yenyewe ilikua ni tairi za upande mmoja wa nyuma.
 
..ninachouliza ni kama pilot alikuwa mahiri ndio maana akaweza kuiteremsha ndege Arusha bila kusababisha madhara makubwa.
 
The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
17,237
2,000
..ninachouliza ni kama pilot alikuwa mahiri ndio maana akaweza kuiteremsha ndege Arusha bila kusababisha madhara makubwa.

Kwa hilo kwakweli pongezi zimwendee.
Ile ilikua hatari sana. Maamuzi ya kuishusha Arusha ndio kesi yangu inaanzia hapo kwa jamaa wa tower ya KIA.
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
24,569
2,000
Incident: Ethiopian B763 at Arusha on Dec 18th 2013, landed on short runway at wrong airport and runway excursion

By Simon Hradecky, created Wednesday, Dec 18th 2013 20:27Z, last updated Saturday, Dec 21st 2013 00:51Z
An Ethiopian Airlines Boeing 767-300, registration ET-AQW performing flight ET-815 from Addis Ababa (Ethiopia) to Kilimanjaro (Tanzania) with 213 people on board, was on approach to Kilimanjaro's runway 27 (length 3600 meters/11,800 feet) where a light aircraft was on the runway near the threshold of runway 09/end of runway 27 and was cleared to land on runway 27 with reduced length of 3200 meters. The aircraft however touched down on Arusha's runway 27 (length 1620 meters/5300 feet) at 13:15L (10:15Z) and came to a full stop just prior to the runway end. Subsequently the crew turned the aircraft left for backtracking, the aircraft came to a stop with all gear on soft ground. No injuries occurred, the aircraft received no visible damage.

The airline confirmed the aircraft diverted because a Cessna was disabled on the runway of Kilimanjaro, however, did not explain why the aircraft diverted to Arusha (27nm from Kilimanjaro Airport) with too short a runway rather than diverting to Dar es Salaam (Tanzania, 240nm from Kilimanjaro), Mombasa (Kenya, 154nm from Kilimanjaro) or Nairobi (Kenya, 127nm from Kilimanjaro) featuring suitable runways.

An investigation has been opened into the occurrence.

Ground witnesses report, that the crew managed to bring the aircraft to a full stop just before the end of the runway, but then attempted to maneouver the aircraft to backtrack the runway which is when they went off paved surface.

A listener on frequency reported the aircraft was sent into a holding at Kilimanjaro NDB (KB, 293kHz) southwest of Kilimanjaro Airport and south of Arusha Airport. Arusha's runway was visible from the holding with the same orientation as Kilimanjaro's runway (09/27 at 3600 meters length). The crew thus obviously believing to land at Kilimanjaro Airport touched down at Arusha.

Another listener on frequency reported the next day that the crew was advised the Cessna would soon be removed from the runway convincing the crew to remain in the hold. The crew finally called in declaring emergency and reporting that they no longer had sufficient fuel to reach Nairobi, Dar es Salaam or Mombasa (editorial remark: with required minimum fuel reserve remaining intact). Following the emergency the aircraft was cleared to land on Kilimanjaro's shortened runway 27, the crew was told the Cessna was still on the runway near the threshold of runway 09, the Boeing 767 however did not show up at the airport.

Several passengers reported that after holding they were told they were now approaching Kilimanjaro airport, they would land to the west due to the Cessna still near the western end of the runway. The landing was rough as expected, only then it was discovered that they had landed at the wrong airport. After turning onto the grass they were stuck on the aircraft for about 3.5 hours until stairs arrived from Kilimanjaro Airport, in the meantime some emergency exits were opened to re-introduce some air circulation into the cabin and calm discontent amongst the passengers.

Arusha's airport said the aircraft landed in Arusha by mistake, they were not supposed to land at Arusha and did not communicate with Arusha tower. The aircraft came to a complete stand still just before the end of the runway but then went off the runway.

In a press release on Dec 19th Tanzania's Civil Aviation Authority reported that the Boeing 767-300 contacted Kilimanjaro at 12:29L and was instructed to continue the flight to Kilimanjaro and report the airfield in sight, the crew was advised the runway 27 end was displaced due to a disabled light aircraft, runway length available for landing was 3,200 meters (instead of 3,600 meters). The crew subsequently reported to have the airport in sight and was cleared for a visual approach to runway 27. The crew subsequently reported to be at left base and was cleared to land on runway 27. After a while without seeing the aircraft Kilimanjaro tower tried to contact the crew via radio however without success. Arusha's tower called in some time later reporting the aircraft had landed on their runway, 1640 meters long while the Boeing 767-300 requires 1798 meters for landing at maximum landing weight.

On Dec 20th 2013 the aircraft departed Arusha and returned to Ethiopia as flight ET-2814.​
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
16,451
2,000
Hata WAZUNGU hufanya hayo.

Mada hii ni zaidi ya uzungu na uafrika. Ndiyo maana na mchina wa Ruvu yuko mle.

Hata hivyo si haba kuzingatia hizi ni incidents tano katika takriban miezi sita.

Humo kuna cases 2 za siku hiyo hiyo ambapo ndege za kampuni hiyo hiyo zilifikia kutua kwenye uwanja siyo, usiotumika na ulio katika ujenzi.

Sijaribu kukushawishi kuona hali hii si ya kawaida 😁😁.
 
Inakuingia akilini mkuu kuwa ndege hii ya Ethiopia ilitoka Addis Ababa kuja KIA ku refuel pia hapo KIA?

".... ET-AQW performing flight ET-815 from Addis Ababa (Ethiopia) to Kilimanjaro (Tanzania) with 213 people on board ..."

"The crew finally called in declaring emergency and reporting that they no longer had sufficient fuel ..."

Too good to be true.

Bila shaka hata iliruka kutoka Arusha moja kwa moja kurudi Addis bila kuweka mafuta Arusha.

Uswahili kazini haukuwahi kuishia kwenye dala dala peke yake.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom