Excellent N.NZote ni kadi za benki zinazorahisisha matumizi ya fedha. Zote ni kampuni za Kimarekani. Unaweza ukazipata katika namna mbili; kama debit card au kama credit card.Debit card inachukua nafasi ya pesa taslimu. Yaani badala ya kubeba hela na kuzitumia ktk malipo yako, unaweza ukatumia debit card iliyounganisha moja kwa moja na checking account yako. Ukinunua kitu au huduma basi unaichanja tu hiyo debit card yako na hela zinatoka moja kwa moja kwenye akaunti yako kwenda kwa huyo unayemlipa. Hii inahitaji kimashine cha kuchanjia. Pia unaweza kulipia hivyo kwa njia ya simu au mtandao.Credi card ni kama mkopo. Badala ya kupewa mkopo wa pesa taslimu unapewa ki-card hicho badala yake. Na chenyewe unakitumia kama ilivyo debit card lakini tofauti ni kwamba hela itokayo kwenye credit card si yako. Ni mkopo na hivyo itabidi uulipe kwa kadri utumiavyo (ukopavyo).Nimeeleweka?
Zote ni kadi za benki zinazorahisisha matumizi ya fedha. Zote ni kampuni za Kimarekani. Unaweza ukazipata katika namna mbili; kama debit card au kama credit card.
Debit card inachukua nafasi ya pesa taslimu. Yaani badala ya kubeba hela na kuzitumia ktk malipo yako, unaweza ukatumia debit card iliyounganisha moja kwa moja na checking account yako. Ukinunua kitu au huduma basi unaichanja tu hiyo debit card yako na hela zinatoka moja kwa moja kwenye akaunti yako kwenda kwa huyo unayemlipa. Hii inahitaji kimashine cha kuchanjia. Pia unaweza kulipia hivyo kwa njia ya simu au mtandao.
Credi card ni kama mkopo. Badala ya kupewa mkopo wa pesa taslimu unapewa ki-card hicho badala yake. Na chenyewe unakitumia kama ilivyo debit card lakini tofauti ni kwamba hela itokayo kwenye credit card si yako. Ni mkopo na hivyo itabidi uulipe kwa kadri utumiavyo (ukopavyo).
Nimeeleweka?
Visa Card ni kadi ya benki inayokuwezesha kuchukua pesa kwenye ATM za benki yako peke yake. Kama unayo visa card ya CRDB huwezi kuitumia kuchukua pesa kwenye ATM ya NBC, Exim au Backlays
Safi sana. Kuna wana JF wanadhani kwamba ni lazima wachangie hata kama hawajui kitu.Huo ni uongo! Mimi ninazo zote, Mastercard na Visa (check card and platinum check card, respectively). Na nina uwezo wa kuchukua hela katika ATM yoyote ile. Hata zile ATM zisizo za benki yangu. Nikichukua hela kwenye ATM ambazo si za benki yangu natozwa ada ndogo.
Master Card ni kadi ya benki inayokuwezesha kuchukua pesa kwenye ATM yeyote duniani iliyopo katika mfumo huo wa MASTER. Kwa mfano kama unayo master card ya CRDB unaweza kuchukua pesa kwenye ATM ya Exim, NBC au Backlays etc ...
Visa Card ni kadi ya benki inayokuwezesha kuchukua pesa kwenye ATM za benki yako peke yake. Kama unayo visa card ya CRDB huwezi kuitumia kuchukua pesa kwenye ATM ya NBC, Exim au Backlays
Master Card ni kadi ya benki inayokuwezesha kuchukua pesa kwenye ATM yeyote duniani iliyopo katika mfumo huo wa MASTER. Kwa mfano kama unayo master card ya CRDB unaweza kuchukua pesa kwenye ATM ya Exim, NBC au Backlays etc ...
Visa Card ni kadi ya benki inayokuwezesha kuchukua pesa kwenye ATM za benki yako peke yake. Kama unayo visa card ya CRDB huwezi kuitumia kuchukua pesa kwenye ATM ya NBC, Exim au Backlays
Je kama nina AMEX na Discovery Cards nawezafanya cash withdrawals ktk ATM za bongo?
Je naweza-swipe AMEX na Discovery kwenye pumps za gas stations, registers za super markets au malls za hapo Dar, Arusha, Mwanza etc?
Huo ni uongo! Mimi ninazo zote, Mastercard na Visa (check card and platinum check card, respectively). Na nina uwezo wa kuchukua hela katika ATM yoyote ile. Hata zile ATM zisizo za benki yangu. Nikichukua hela kwenye ATM ambazo si za benki yangu natozwa ada ndogo.
Nyani wacha uongo kwa Tanzania inaweza kuwa tofauti hata nchi nyingine kuna cards ambazo huwezi kuchukua mpunga kwenye benki nyingine. Inategemea na mtoa card kakupa masharti gani. unless unapalilia yaliyopo USA.
BTW Tanzania unaweza kuchukua pesa kutoka kwenye mashine za Barclays tu kama una card kutoka nchi za magharibi na hivi vibenki vingine hupati kitu.
Huna hata uhakika na unachokiongea halafu unadiriki kuniita mimi muongo.
Naona lile wazo lako la kutaka kurudi uko serious... Na huwezi Swipe AMEX na Discovery kwenye pumps za gas stations, registers za Super markets wala malls... Kwanza kwa mfano Dar kwenyewe mall ipo moja tu!!...lol... Hata hivo welcome back Sherriff....