Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 8,937
- 25,279
Serikali ya Kenya imetangaza visa vipya 59 vya maambukizi ya virusi vya corona. Hayo yalisemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya nchini Kenya Dr. Mercy Mwangangi ambapo alifananua kuwa idadi hiyo imepatikana baada ya kupima sampuli 2354 na kupungua kwa idadi ya visa vipya haimaanishi kuwa ugonjwa huo wa COVID-19 unapungua nchini humo. Vile vile Dr. Mwangangi ameleza kuwa wagonjwa wawili wamepoteza uhai na kufikisha jumla ya vifo 125, na pia wagonjwa 73 wameruhusiwa baada ya kupona na kuongeza idadi ya waliopona kufikia 1,680.
===
59 more people have tested positive for COVID-19 in Kenya bringing the total number of cases in the country to 4,797.
Health CAS Mercy Mwangangi said all of the new cases are Kenyans: 47 are male and 12 are female.
She said the latest cases are from 2,354 samples that were tested in the last 24 hours.
Total cumulative samples tested now stands at 142,366.
Age distribution of the new cases is between to years: are males and are females.
73 more people have however been discharged bringing the total number of recoveries to 1,682.
Two others succumbed to the COVID-19 disease in the last 24 hours raising the death toll to 125.
The cases are spread out in Nairobi 28, Mombasa 21, Kilifi 3, Kiambu 2, Machakos 1, Kisii 1, Bungoma 1 and Webuye 1.
Source: CITIZEN TV