Virusi Za kuharibu mifumo ya makombora ya n Korea zamnyima usingizi Jon Kim

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,601
1,171
Habari zinaeleza juhudi Za kumwondoa Kim madarakani zimeanza kuzaa matunda hii ni mara baada ya majaribio kadhaa ya silaha Za nyuklia za Korea ya kaskazini kushindwa na kudondoka bila mafanikio hii ni mara baada ya virus kufanya kazi yake katika mitambo hiyo. Tayar hofu kubwa imeanza kumkabili rais wa Korea ya kaskazini Chanzo ni ALJAZEERA....
 
Kujipa matumaini tu,majaribio ya makombora korea si mwanzo kufail leo huko.
Mbona hata uingereza kombora lilifail mpaka watu wakatakiwa kujiudhuru?
Hilo kombora KN-17 ni jipya na hii ni mara ya tatu linafail lakini wanazidi kupiga hatua ,kutoka kuwa hewani kwa dakika 9 mpaka mara ya mwisho juzi liliruka kwa dakika 15.

Kama marekani angekuwa anaweza kunockisha makombora angeshaingia siku nyingi sana pyoyang
 
Correction kidogo. Majaribio yalikuwa si ya nyuklia.Ni makombora ya kawaida
 
Marekani kapata kichwa maji mwenzio hapo lazima atapetape. NK hawana cha kupoteza washasema
 
Kujipa matumaini tu,majaribio ya makombora korea si mwanzo kufail leo huko.
Mbona hata uingereza kombora lilifail mpaka watu wakatakiwa kujiudhuru?
Hilo kombora KN-17 ni jipya na hii ni mara ya tatu linafail lakini wanazidi kupiga hatua ,kutoka kuwa hewani kwa dakika 9 mpaka mara ya mwisho juzi liliruka kwa dakika 15.

Kama marekani angekuwa anaweza kunockisha makombora angeshaingia siku nyingi sana pyoyang
Me nashangaa ni kwa nini hawaoneshi video ya hilo kombora liki fail ili watu waamini kuwa kweli huwa yanaanguka au kulipuka hewani.
 
Habari zinaeleza juhudi Za kumwondoa Kim madarakani zimeanza kuzaa matunda hii ni mara baada ya majaribio kadhaa ya silaha Za nyuklia za Korea ya kaskazini kushindwa na kudondoka bila mafanikio hii ni mara baada ya virus kufanya kazi yake katika mitambo hiyo. Tayar hofu kubwa imeanza kumkabili rais wa Korea ya kaskazini Chanzo ni ALJAZEERA....
兵者,詭道也。故能而示之不能,用而示之不用,近而示之遠,遠而示之近。
All warfare is based on deception. Hence, when we are able to attack, we must seem unable; when using our forces, we must appear inactive; when we are near, we must make the enemy believe we are far away; when far away, we must make him believe we are near.
 
Art of war!.
 
Kujipa matumaini tu,majaribio ya makombora korea si mwanzo kufail leo huko.
Mbona hata uingereza kombora lilifail mpaka watu wakatakiwa kujiudhuru?
Hilo kombora KN-17 ni jipya na hii ni mara ya tatu linafail lakini wanazidi kupiga hatua ,kutoka kuwa hewani kwa dakika 9 mpaka mara ya mwisho juzi liliruka kwa dakika 15.

Kama marekani angekuwa anaweza kunockisha makombora angeshaingia siku nyingi sana pyoyang
Umesema vema Elungata, Lakini inawezekana pia kuwa US wanashindwa kuivamia NK sababu ya kusaka kwanza hali nzuri ya ki dipromasia na washirika wa NK ambao ni CHINA na RUSSIA .Aidha kwa kuwa NK kaahidi kushambulia Washirika wa Marekani ambao ni SK na JAPAN huenda Marekani wamejikuta wanalazimika kuweka mifumo ya kuwakinga na mashambulizi hayo ya NK ili pengine wapate ridhaa ya kutumia ardhi ya nchi hizo kufanya mashambulizi. Vinginevyo sioni sababu ya US kuchelewa kuivamia NK, kwa hali ilipokuwa imefikia.
 
Unatakiwa uelewe wazi kwa kwa nn wanafanya majaribio ukishaelewa maana yake nadhani hutarudia tena umbumbu huo, hata shuleni na vyuoni kabla ya kufanya mitihani huwa kuna majaribio ili kujiweka sawa kabla ya mitihani!
 
yetu macho na masikio...ila chonde mr kiduku maana yanavyofail daily hayo madude usije cku ukalituma marekan likafailnkwe anga ya urusi mtatifuana wenyew
 
Unataka kutuambia silaha zote kuwa na ndogo alizonazo marekani hajazijaribia? Kitu chochote kikitengenezwa lazima kifanyiwe majaribio mambo yakienda vizuri ndo mtu anatangaza kufanikiwa Kwa mradi wake, iwe gari, ndege na hata robbort!
 
af-graphic-jong-nodong.jpg
 
Back
Top Bottom