Virusi vya Corona vinajibadilisha kulingana na mazingira, kwa sasa vinadaiwa kuwa na uwezo wa kumuua mtu ndani ya saa 48

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Danger alert: 💀
Imebainika kirusi cha Corona kinabadilika na sasa kina zidi kuwa hatari na korofi. Tafiti zimebaini
1. Type A
Kilianza kile kilichogundulika kuwa kilitokana na popo ( root of the transmission) ndio kilienea Wuhan na baadhi ya maeneo ya Australia na America.

.. 2. Type B
Hichi kilibadilika kutoka type A via two mutation. Kikaenea kidogo China kisha kikaenea zaidi Ulaya, Canada, America pia na baadhi ya maeneo Africa. Hichi kina nguvu kuliko type A na hushambulia na kuenea kwa haraka zaidi kuliko A. Kina ua within 4 to 10 days 😭,,

.. Type C
Hiki kimepewa jina la "the daughter of Type B" ni hatari saana kinaenea na kudhuru haraka mara kumi ya type B na inaaminika mutation yake moja ni tofauti na origin variation. Ndio kimeenea zaidi Africa, Brazili, Singapore na maeneo mengine,, kina ua within 48 to 24 hrs

Jamani tujikinge this thing is scary as https://jamii.app/JFUserGuide,, ndio maana huku kwetu watu wanaanguka na kufa gafla na tafiti zinaonyesha the more kirusi kina kaa the more kinakuwa imara na kubadilika. Sio utani tena TUJIKINGE kwa NGUVU ZOTE. 💜🙏🇹🇿

Source : scientists at Los Alamos National Lab
IMG_20200506_165826.jpg
 
Mutation kwa virus ni kitu cha kawaida has a anapokuta na mazingira tofauti . mutation inaweza sababisha akawa mkali zaidi au dhaifu . balaa ni pale mutation husika ina mfanya kuwa more deadly
 
Back
Top Bottom