Virusi vipya ambavyo vinaweza kusababisha mlipuko duniani vyagunduliwa China

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Aina mpya ya mafua ambayo inaweza kuwa janga kubwa la kiafya imegunduliwa na Wanasayansi nchini humo. Mafua hayo ni aina mpya ya virusi na kutokana na hilo, inawezekana binadamu wana kinga mwili ndogo ya kupambana nayo au hawana kabisa.

Imeelezwa kuwa mafua hayo yapo kwa nguruwe lakini binadamu wanaweza kuambukizwa. Wanasayansi hao wana hofu kwamba mafua hayo yanaweza kusambaa kirahisi na kusababisha mlipuko.

Hata hivyo, Watafiti wamesema mafua hayo yanaweza yasiwe tatizo kwa sasa japokuwa suala hilo linahitaji uangalizi wa karibu kwasababu binadamu wanaweza kuambukizwa.

===

A new strain of flu that has the potential to become a pandemic has been identified in China by scientists.

It emerged recently and is carried by pigs, but can infect humans, they say.

The researchers are concerned that it could mutate further so that it can spread easily from person to person, and trigger a global outbreak.

While it is not an immediate problem, they say, it has "all the hallmarks" of being highly adapted to infect humans and needs close monitoring.

As it's new, people could have little or no immunity to the virus.

The scientists write in the journal Proceedings of the National Academy of Sciences that measures to control the virus in pigs, and the close monitoring of swine industry workers, should be swiftly implemented.

Pandemic threat
A bad new strain of influenza is among the top disease threats that experts are watching for, even as the world attempts to bring to an end the current coronavirus pandemic.

The last pandemic flu the world encountered - the swine flu outbreak of 2009 that began in Mexico - was less deadly than initially feared, largely because many older people had some immunity to it, probably because of its similarity to other flu viruses that had circulated years before.

That virus, called A/H1N1pdm09, is now covered by the annual flu vaccine to make sure people are protected.

The new flu strain that has been identified in China is similar to 2009 swine flu, but with some new changes.

So far, it hasn't posed a big threat, but Prof Kin-Chow Chang and colleagues who have been studying it, say it is one to keep an eye on.

The virus, which the researchers call G4 EA H1N1, can grow and multiply in the cells that line the human airways.

They found evidence of recent infection starting in people who worked in abattoirs and the swine industry in China.

Current flu vaccines do not appear to protect against it, although they could be adapted to do so if needed.

Prof Kin-Chow Chang, who works at Nottingham University in the UK, told the BBC: "Right now we are distracted with coronavirus and rightly so. But we must not lose sight of potentially dangerous new viruses."

While this new virus is not an immediate problem, he says: "We should not ignore it."

Prof James Wood, head of the Department of Veterinary Medicine at the University of Cambridge, said the work "comes as a salutary reminder" that we are constantly at risk of new emergence of pathogens, and that farmed animals, with which humans have greater contact than with wildlife, may act as the source for important pandemic viruses.

Flu virus with 'pandemic potential' found in China
 
Hivi china ni watu au Alien..??
Huu upuuzi utaisha lini,ndio maana hata covid 19 Trump aliita china virus!
Hawana tawile.. makomamanga kabisa haya
Tatizo la Wachina ni ile tabia yao ya kupenda kula kila kinachoonekana chini ya jua!
 
Covid-19 ililalamikiwa sana na comrade Trump kuwa China inafaham vizuri kuhusu ugonjwa huo ikishirikiana na shirika la Afya Duniani WHO, kuwa ilikuwaje wakashindwa kutoa hadhari mapema ili nchi nyingine ziweze kuchukua hatua.

Serikali ya uchina kwa kuondoa lawama kutoka kwa mataifa ya nje imetangaza rasmi kuibuka kwa ugonjwa mwingine wa mafua ya nguruwe, ukiachilia mbali yale mafua yaliozoeleka.

Mafua haya ya sasa ni sawa na yale yanayofahamika isipokuwa kwenye vimelea vyake ambapo uwezo wa vimelea hivi vya sasa ni kwamba vinauwezo wa kuingia mwilini mwa binadamu na ndani ya muda mfupi vikaweza kujibadirisha ili kuingia kwa mtu mwingine.

Ugonjwa huo umejulikana mara baada ya wafanyakazi wanaohudumu kwenye mashamba, machinjio ya wanyama hao huko nchini china.

Serikali ya China inaendelea kufuatilia kwa karibu kujua kwa undani visa vya kimelea huyo mpya.

NB. Haya watanzania taarifa ndiyo hiyo.
 
Ukitaka kujua kama ngurue ni haram chukua kipande cha nyama yake ingiza kwenye chombo, ingiza Coca-Cola thn iache kama daika 45, utakachokikuta humo huzoweza kumla tena huyo mdudu
Sawa mkuu, ila hata ukichukua cocacola ukaweka kipande cha jino baada ya muda hutaamini. Anyways, mm sili nguruwe ila fact unazotoa hazihalalishi uharamu wake. Uharamu wa nguruwe ni swala la kiimani.
 
Aina mpya ya mafua ambayo inaweza kuwa janga kubwa la kiafya imegunduliwa na Wanasayansi nchini humo. Mafua hayo ni aina mpya ya virusi na kutokana na hilo, inawezekana binadamu wana kinga mwili ndogo ya kupambana nayo au hawana kabisa

Imeelezwa kuwa mafua hayo yapo kwa nguruwe lakini binadamu wanaweza kuambukizwa. Wanasayansi hao wana hofu kwamba mafua hayo yanaweza kusambaa kirahisi na kusababisha mlipuko

Hata hivyo, Watafiti wamesema mafua hayo yanaweza yasiwe tatizo kwa sasa japokuwa suala hilo linahitaji uangalizi wa karibu kwasababu binadamu wanaweza kuambukizwa

===

A new strain of flu that has the potential to become a pandemic has been identified in China by scientists.

It emerged recently and is carried by pigs, but can infect humans, they say.

The researchers are concerned that it could mutate further so that it can spread easily from person to person, and trigger a global outbreak.

While it is not an immediate problem, they say, it has "all the hallmarks" of being highly adapted to infect humans and needs close monitoring.

As it's new, people could have little or no immunity to the virus.

The scientists write in the journal Proceedings of the National Academy of Sciences that measures to control the virus in pigs, and the close monitoring of swine industry workers, should be swiftly implemented.

Pandemic threat
A bad new strain of influenza is among the top disease threats that experts are watching for, even as the world attempts to bring to an end the current coronavirus pandemic.

The last pandemic flu the world encountered - the swine flu outbreak of 2009 that began in Mexico - was less deadly than initially feared, largely because many older people had some immunity to it, probably because of its similarity to other flu viruses that had circulated years before.

That virus, called A/H1N1pdm09, is now covered by the annual flu vaccine to make sure people are protected.

The new flu strain that has been identified in China is similar to 2009 swine flu, but with some new changes.

So far, it hasn't posed a big threat, but Prof Kin-Chow Chang and colleagues who have been studying it, say it is one to keep an eye on.

The virus, which the researchers call G4 EA H1N1, can grow and multiply in the cells that line the human airways.

They found evidence of recent infection starting in people who worked in abattoirs and the swine industry in China.

Current flu vaccines do not appear to protect against it, although they could be adapted to do so if needed.

Prof Kin-Chow Chang, who works at Nottingham University in the UK, told the BBC: "Right now we are distracted with coronavirus and rightly so. But we must not lose sight of potentially dangerous new viruses."

While this new virus is not an immediate problem, he says: "We should not ignore it."

Prof James Wood, head of the Department of Veterinary Medicine at the University of Cambridge, said the work "comes as a salutary reminder" that we are constantly at risk of new emergence of pathogens, and that farmed animals, with which humans have greater contact than with wildlife, may act as the source for important pandemic viruses.

Flu virus with 'pandemic potential' found in China
Hii Waarabu na Waislam haiwahusu

mimi Pork ntapiga tu na nyungu ntapiga
 
Ukitaka kujua kama ngurue ni haram chukua kipande cha nyama yake ingiza kwenye chombo, ingiza Coca-Cola thn iache kama daika 45, utakachokikuta humo huzoweza kumla tena huyo mdudu

Binadam hamuishi wivu usio na maana.
We umeona haram piga kimya, ile kitu hujawai ionja wewe.
 
Ukitaka kujua kama ngurue ni haram chukua kipande cha nyama yake ingiza kwenye chombo, ingiza Coca-Cola thn iache kama daika 45, utakachokikuta humo huzoweza kumla tena huyo mdudu
images.jpg

hii kitu askwambie mtu :cool:
 
Back
Top Bottom