Virus huyu amenitia hasara; Nifanyeje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Virus huyu amenitia hasara; Nifanyeje?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Sinkala, Jun 13, 2009.

 1. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hivi karibuni niliingia kwenye Internet café moja na katika kuchukua vitu vichache, nilijikuta pen drive yangu imeingiliwa na virus kwani niliona dhahiri mafaili ambayo mimi binafsi sikuyacreate, na hata extension yake ilikuwa tofauti kwani mengi yaliyojitokeza yalikuwa na extension ya fileName.exe . Niliporudi "kwa ofisi", niligundua kwamba mafailili yangu ya Word na Excel yalipofunguka, badala ya kuwa na ile content niliyosave, yalikuwa na content hii:


  BitDefender iliondoa virus wote lakini ndo hivyo, nimepoteza contents. So nawapa tahadhari na kushare experience iwapo naweza kupata njia humu ya kurudisha mafaili yangu.
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Duh, mazee pole sana. Hicho kirus sidhani kama unaweza recover file. Kirus kama hicho chenye extension ya Executable kilishawahi way abck kunisababishia niformat PC, maana kiliniacha bila option kikaenda mpaka kikala mafaili flani ya graphic..yaani ilikuwa balaa.
   
 3. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2009
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Pole sana. Sidhani kama unaweza kurecover chochote hapo!
   
 4. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Sinkala,
  How big is your flash? Tuambie pia free space iliyopo ni kiasi gani?

  Your files are probably hidden. Nimewahi kukumbana na tatizo la mfano wako mara mbili, japo hiyo message haikuwepo. Also it was a bit tricky to unhide the files, but I bet they're probably safe.

  Fuatilia hii link hapa uone mbinu zitakazoweza kukusaidia kupata ma-file yako.
   
 5. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  The other thing is, do you have a back up? Always back up your important files, preferrably in several different places and online if you can.This way if worse come to worse you can always format and start anew.
   
 6. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  It's a 1-GB flash memory, na free space ni 27.4 MB. I'm going to visit that link just now.

  Yeah, I did back-up of my important ones, but others I didn't. I plan to format it, but should be the last option. Sijaiformat kwanza ili nione kama possibility ya kuyarudisha ipo, ila hata nikiamua kuformat, sitoathirika sana.
   
 7. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Imebidi niweke picha maana greater than symbol inaniyeyusha. Text nitaweka kwenye post inayofuata

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 8. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  *Click Start - then Run
  *type cmd and press enter..
  A black window opens (msDOS).
  *type the letter of your flash and add a colon e.g F: (and press Enter)
  (to know the letter of your flash go to my computer and check out the letter there)
  *it should appear as F:\
  *then write attrib –h –r –s /d /s and press enter
  (make sure that there are spaces in between the letters)
  *type
  *exit
  and press enter


  FYI, the attrib -s -h -r /s /d command unhides all files in all subfolders where the command is run. This is more reliable than going to control panel to unhide since some viruses make it difficult to show hidden files.


  p.s. It's good to delete file1.exe from all programs - startup
   
  Last edited: Jul 6, 2009
 9. Pentest

  Pentest Member

  #9
  Jun 16, 2009
  Joined: Jun 16, 2009
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole sana, naweza kurecover file zako kwa kutumia software
  tuwasiliane nikupe hiyo software its easy na simple.
   
 10. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #10
  Jun 16, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Thank You JF
  Hivi ndivyo mafaili yalivyorudi katika hali yake original:
  Nimerun DOS commands kama nilivyopewa na Mkuu Lazydog, but it didn't work. nikakata tamaa na kuamua kuyapeleka mafaili ya MS Word, Excel na PowerPoint katika Recycle Bin (niliyadelete huku nikiyasikilizia). Baadaye nikarudi kupitia kwa makini comments za thread hii na kuangalia iwapo post mpya zingesolve. Ndipo nikagundua kwamba kuna post moja ya Lazydog (nyingine, si ile ya DOS commands) ilitoa link, lakini hadi wakati huo sikuwa nimeipitia hiyo link (labda kwa kukata tamaa). Ndipo nikaamua kuifuata ile link, nikapelekwa kwenye jamvi la majamaa wa wapi sijui, nikakuta discussion kama hii. Nikaanza kupitia post za mmoja mmoja, na nikaichagua hii hapa:
  Baada ya kufanya hivyo, nikaenda kwenye Recycle Bin na nika-restore mafaili yangu niliyokuwa nimeyadelete tayari. Yaliporudi, new location ilikuwa ni katika Desktop, na nilipofungua moja moja, kila moja lilikuwa na contents zake kama zilivyokuwa kabla sijashambuliwa. Mkuu Pentest naomba uniambie kama hiyo software iko kwenye faili la ukubwa wa kuweza kuwa attached katika Yahoo Mail au la, ili nikutumie e-mail yangu, itasaidia mbeleni. Asante sana wakuu kwa kutumia muda wenu, MY FILES ARE BACK, tuko pamoja!!!
   
Loading...