mwaki pesile
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 340
- 487
Mwanamke siku zote huwa anaamin mme ndie atakaeanza kufa. Kama unabisha mwambie 'hii nyumba nataka tuiuze' utaskia alafu siku ukifa mi nitaishije na watoto?
Siku zote wanawake sijui huwa wanawaza nini juu yetuMwanamke siku zote huwa anaamin mme ndie atakaeanza kufa. Kama unabisha mwambie 'hii nyumba nataka tuiuze' utaskia alafu siku ukifa mi nitaishije na watoto?
Wanatulia timingSiku zote wanawake sijui huwa wanawaza nini juu yetu
Na wanatulia timing sanaa hawa watuWanatulia timing
Wanatulia timing