Konkmaster
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 360
- 291
Jamani viroboto wamevamia shambani ninapofuga mbuzi Kila madaktari wa mifugo waniamba nitumie roll on bila mafanikio
Tafuta paranex, hutajutaJamani viroboto wamevamia shambani ninapofuga mbuzi Kila madaktari wa mifugo waniamba nitumie roll on bila mafanikio
Au steladone ec. Na vyema unyunyizie mara 2 kwa wiki ili kuvunja mzunguko wa kuzaana viroboto.Tafuta paranex, hutajuta