VIROBA NI JIPU WAZIRI HUSIKA;MNASAIDIAJE NDUGU ZETU WANAOISHA HASA MIKOANI

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,584
UKIONA JAMAA WA BODABODA WANAKUNYWA WANALEWA MCHANA HAO CHA MTOTONENDA MIKOANI VIROBA NDIO CHAI YAO

NDIO LUNCH YAO MPAKA UNAUMIAA..MAJUZI TULIENDA MOSHI KUZIKA WAOMBOLEZAJI WENGI WALIOFIKA NDANI WENGINE BABA ASKOFU ANAOMBA AU ANASEMA NENO WAO WANATOA VIROBA NDANI YA MFUKO NA KUNYWAA

HII NISHIDAA EMBU ANGALIENI MNASAIDIAJE VIJANA WETU WANAOKUNYWA BILA MPANGILIO
WAZIRI HUSIK
TUTUMBULIE HILIJIPU
 
Mie Nina kaka yangu kila kitu anathaminisha kwa viroba. Haombi hela cash, anakuomba viroba kadhaa, ukimpa kitu anakibadili kwa viroba, yaani imekuwa kama drip, kila baada ya mida Lazima anyonye kidogo mpaka usiku anapoenda lala yuko hoi
 
Ni tatizo kubwa. Kila kijiwe cha bodaboda au bajaji kuna vibanda vya kuuza viroba. Serikali iangalie hasa ujazo, waongeze angalau mils 250.

Hivi @king`asti ile bangi yetu ni ujazo gani?
 
UKIONA JAMAA WA BODABODA WANAKUNYWA WANALEWA MCHANA HAO CHA MTOTONENDA MIKOANI VIROBA NDIO CHAI YAO

NDIO LUNCH YAO MPAKA UNAUMIAA..MAJUZI TULIENDA MOSHI KUZIKA WAOMBOLEZAJI WENGI WALIOFIKA NDANI WENGINE BABA ASKOFU ANAOMBA AU ANASEMA NENO WAO WANATOA VIROBA NDANI YA MFUKO NA KUNYWAA

HII NISHIDAA EMBU ANGALIENI MNASAIDIAJE VIJANA WETU WANAOKUNYWA BILA MPANGILIO
WAZIRI HUSIK
TUTUMBULIE HILIJIPU
Ndugu, hongera kwa kuanzisha mada hii..!
Viroba ni jipu kweli, viroba vinaangamiza nguvu kazi ya taifa, viroba vinahatarisha amani na usalama wa nchi.
Arusha kuna viroba feki, sh 200 tu. Ni Shida.
Ushauri: Waziri wa vijana na wa viwanda, wapige marufuku ufungashaji wa pombe kwenye viroba. Pili, kuwe na viwango (minimum quantity) vya kufungasha pombe kwenye chupa.
 
Mie Nina kaka yangu kila kitu anathaminisha kwa viroba. Haombi hela cash, anakuomba viroba kadhaa, ukimpa kitu anakibadili kwa viroba, yaani imekuwa kama drip, kila baada ya mida Lazima anyonye kidogo mpaka usiku anapoenda lala yuko hoi
Wapi hiyo viongozi, Rombo au?
 
Nyie mmekosa mambo ya kujadili sasa
Na akili zenu finyu,hamjui watengeneza viroba wanalipa kodi tra?
Elimu elimu elimu
 
Aisee,hii kitu ni mbaya sana.Huwa najiuiliza hivi serikali yetu haioni ubaya wa hii kitu?Nashangaa inashupalia bangi,mirungi na madawa ya kulevya viroba vinaachwa.JPM amka viroba vipigwe marufuku vinamaliza vijana wetu.Wengi urijali hamna tena.Duh.....

Back
Top Bottom