Viroba vimerudi kwa staili nyingine au?

Ishemo

Senior Member
Mar 6, 2015
193
126
Nimekuta Kijana wangu wa umri mdogo kama amepandwa na kichaa vile, baada ya kufanya uchunguzi wa kina nikakutana na hiyo kitu kwenye Bag lake...
Swali langu mpaka sasa ..
Hii ni Pombe gani? Iko legally?
e19805b65c0b0f19dd96ef005f562be4.jpg
 
Jina linajieleza
 
Kufuatana na jina, hiyo pombe haina madhara maana Kitoko maana yake safi ama murua. usiwe na wasiwasi hili ni toleo jipya kwa wapenzi wa CDM na CCM kwaajili ya uchaguzi wa mwaka 2020. Nguvu kazi ya kujipaka rangi mwili mzima za kijani na njano na wengine kufagia na kudeki barabara ya mfalme wa wanamitandao.
 
Haa. ..kwa Hiyo unataka kusema mwanangu ni mwanachama??
Hata hivyo umeniondolea stress soon nitambadilishia adhabu Dogo
 
Kama kishafika umri wa miaka 18 muangalie sana asijikite katika makundi haya mawili ya CCM na CHADEMA, hawa watu ni wa kuwaonea huruma maana wapo kama wafuasi wa Trump viongozi wao wakiwaambia kinyesi ni chakula kizuri hata ukibisha utaishia kutukanwa, na hii nina wasiwasi ni kwasababu ya kupata KITOKO nyingi. Mtu mwenye akili timamu hawezi kujipaka mwili wake kufanya bendera ya ccm ama kwenda kudeki barabara ya vumbi mfalme apite.

Mtu mwenye akili timamu hawezi kukutukana mtu asiyekujua ati sababu umemkosoa Mbowe ama Magufuli ama rais wa Mioyo na FB na mitandaoni Mheshimiwa sana Edward Ngayaye Lowasa. Hivyo ombi langu kwako mwambie huyo kijana wetu awe tu Mtanzania mpenda nchi yake bila kuwa mnazi wa hivi vyama viwili.
 
Nimekuta Kijana wangu wa umri mdogo kama amepandwa na kichaa vile, baada ya kufanya uchunguzi wa kina nikakutana na hiyo kitu kwenye Bag lake...
Swali langu mpaka sasa ..
Hii ni Pombe gani? Iko legally?
e19805b65c0b0f19dd96ef005f562be4.jpg
Wapigie TBS waulize maana wanaitambua.
 
Ni pombe halali jamii ya Kvant, Konyagi , Hi life , London zipo kibao baa za mitaani wanauza 2300 wengine 2500
 
Back
Top Bottom