Viraka wa mapenzi

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Jamani duniani kuna mambo
Kuna wanaume/wanawake wenyewe ni viraka vya mapenzi
Penzi na mwenzio likitoboka tu na usipo wahi kuliziba tayari kiraka anatia timu na kuziba
Tatizo rangi ya kiraka sasa ni tofauti na ile ya penzi
Kuiondoa kazi
Jamani jihadharini sana
 
kimbweka jaman
leo kalale kdg km stress zooooooooooote hpful zmeisha...mh poooole!!!!!!
i ya ngap?
kweli kiraka kina doa la ajabu
na kiraka hakiwez kumfikia yule wa sakrament!!!!
 
kimbweka jaman
leo kalale kdg km stress zooooooooooote hpful zmeisha...mh poooole!!!!!!
i ya ngap?
kweli kiraka kina doa la ajabu
na kiraka hakiwez kumfikia yule wa sakrament!!!!

Baada ya saa za kazi tuonane tuongee kabisa
 
Stress hazijakwisha tu mpaka sasa pole leo tutaipata fresh si mchezo endelea mkuu lete mambo
 
bora kiraka kuliko kuliacha tundu wazi maana kama ni nguo ukiweka kiraka itavalika lakini kama umeecha bila kuziba tundu ..........................
 
bora kiraka kuliko kuliacha tundu wazi maana kama ni nguo ukiweka kiraka itavalika lakini kama umeecha bila kuziba tundu ..........................

Wapenda viraka weye....:loco::loco::loco:
 
Shehe kimbweka mie sindano yangu haichague pa kushona, sharti itiwe uzi basi itashona kwelikweli maalim
 
mweeeeee sasa babawatoto i avatar yako tena jaman..mhh mmh:tape::tape::tape:aya lakin km inakufuraisha lakn !!!!!!!:yield::yield::yield:
 
unaweza weka viraka vingi hadi baadae vikaanza kuhulizana we umekuja lini mwenzangu? cha muhimu kaza moyo fanya kazi kwa bidii nguo yako isitoboke handle with care eehh
 
Jamani duniani kuna mambo
Kuna wanaume/wanawake wenyewe ni viraka vya mapenzi
Penzi na mwenzio likitoboka tu na usipo wahi kuliziba tayari kiraka anatia timu na kuziba
Tatizo rangi ya kiraka sasa ni tofauti na ile ya penzi
Kuiondoa kazi
Jamani jihadharini sana

mwenzetu pole ........... wanasema usiboziba ufa utajenga ukuta ...........
 
Back
Top Bottom