The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,246
Nimekuwa msikilizaji wa Radio mbalimbali hapa kwetu nimegundua vipindi vingi vya radio havina ubora na havikizi hitaji la jamii na vingi ni vya kugezana kwa mfano kuanzia Asubuhi saa 1 mpaka 3 ukisikiliza radio nyingi vipindi vina maudhui yanayofanana. Vivyo hivyo kuanzia saa 3 mpaka saa 7 mchana navyo maudhui yake yanafanana hakuna ubunifu. Vipindi vingi vya radio za Mikoani wana copy Clouds Fm.
Radio Free Africa ndio rafio pekee iliyokuwa na vipindi tofauti kabisa na radio zingine lakini sasa nayo hakuna kitu.
Radio Free Africa ndio rafio pekee iliyokuwa na vipindi tofauti kabisa na radio zingine lakini sasa nayo hakuna kitu.