Vipindi vya Mashamsham, Mgahawa na SportsArena vimesheheni Waropokaji; TCRA ni waungwana sana vinginevyo wangeshavifutilia mbali

Baba Levo, Kingwendu,Stev Nyerere eti na wao watangazaji! Aibu sana hii,ndiyo maana Fani ya uandishi wa habari inadharaulika sana!
Kabisaa asee....Kuna vijana wazuri wenye ethic and code of journalism Ila hawapati nafasi,utangazaji umekuwa sio professional,mradi ujue kuongea na kuropoka tu au umaarufu tiyari wewe Ni mtangazaji.niwachache katika hivi vyombo vya habari Wana waledi.angalia redio zinazo fanya vizuri asilimia kubwa Zina professional
 
Back
Top Bottom