Vipimo vya fundi cherehani mpaka kiunoni na mapajani alafu mke wa mtu hii imekaaje wakuu!

Abbasfarudume

JF-Expert Member
Feb 14, 2017
1,625
1,324
46a51dca5e5b1060334212f9061197d6.jpg
 
Umejibana sana kuwaza, ungeenda mbali zaidi na kujiuliza, je madaktari wataalamu wa magonjwa ya kinamama na wakunga wa kiume wanaowahudumia wake za watu wakati wa kujifungua tuwaweke fungu gani!
Uwaze kwanza hilo usiishie kuwaza kiwepesi wepesi namna hiyo mkuu.
Hapo umekwenda jifungua unapimwa njia zaidi ya mara tatu dokta wa kiume na bado kuzalishwa anaiangalia hadi anachoka sembuse fundi anagisa paja juu ya nguo tena kinachogusisha zaidi ni futi hahahahaha acha wivu mkuu
 
Mwanamke anaekwenda kujifungua (1) hana vishawishi vya kumvuta mwanaume pale kwa doctor hospitalini ameenda kwa ajili ya kuumwa uchungu (kujifungua). (2) mtu anasikia uchungu sidhani kama atakuwa na hamu tena ya hiyo kitu (mkuyenge) kwa ajili ya kumvuta na kumtega mwanaume, hospital ni sehemu ya dharula, msilinganishe sehemu ya dharula na kwenye urembo na starehe wakuu
 
Umejibana sana kuwaza, ungeenda mbali zaidi na kujiuliza, je madaktari wataalamu wa magonjwa ya kinamama na wakunga wa kiume wanaowahudumia wake za watu wakati wa kujifungua tuwaweke fungu gani!
Uwaze kwanza hilo usiishie kuwaza kiwepesi wepesi namna hiyo mkuu.
mmmh! Hivi umeshawahi kuiona K ikiwa inatoa mtoto!!!! Daktari hawezi kuitamani kabisa
 
Hao madada hapo kwa fundi wote ni wazima wa afya awana mimba, chura ndio usiseme kwa mfano wewe mwanaume uliekuwa rijari utaachaje kutamani
 
Na ndio maana nikasema kama ni wake za watu mafundi nguo wana mitihani na vipimo vyao
 
Toa mbadala wa upimaji wa nguo hizo za hao warembo. Kinyume na hapo, nadhani huyo fundi cherehani yupo sahihi kupima mapaja na makalio. Huo ni mtazamo wangu.
 
Hao mafundi ni balaa...wanawabanduaga haswa..

NB; Vita ya kutembea na mke wa mtu haijawahi kuacha mtu salama
 
Angalieni hiyo picha huyo dada alievaa kanga nyekundu na hiyo mikono ya fundi alivyoizungusha kiunoni kwake na dada mwenyewe kaumbika kichizi

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom