benteke
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 1,305
- 1,066
Unamuomba outing msichana mnafika sehemu husika, of course itakua ni sehemu mashuhuri na ina watu wengi. Anakuja muhudumu wewe unaagiza kesto light yako baridi.
Zamu ya binti kuagiza anaagiza, dada naomba mzinga mkubwa wa konyagi. Muhudumu anamuuliza utachanganya na soda gani? binti anajibu ntachanganyia na safari ya baridi.
Muhudumu analeta vinywaji na glass anaweka mezani. Binti anamuambia mhudumu, samahani dada naomba niletee kiroba original nisuuzie glass maana nikiweka hivi itaaribu fleva ya konyagi.
Weekend njema.