Vipi wakuu , tume ya utumishi wa mahakama bado hawajatoa UPDATES tu...maana miezi sasa au kuna nini kinachocheleweshaa??

Lexus SUV

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
4,193
5,123
habari , .

vipi hapo wakuu ,
ni kuhusu tume ya utumishi wa mahakama ,je mikeka imechanika kisiri siri , ama imetema kisiri siri tu?
 
sisi kwetu kwa akina nshomile huwa tunaandaa ng'ombe mnono na kumpelekea mshika dau kwenye kitengo fulani hata wiki hazifiki utaskia anakupigia simu njoo na vyeti vyako uasini mkataba
 
dah ngoja nitafute hizi ajira za SAIDIA FUNDI kwenye sites za ujenzi. tu maana amna namna .
 
dah ngoja nitafute hizi ajira za SAIDIA FUNDI kwenye sites za ujenzi. tu maana amna namna .
Mwanangu unatolea sana Macho Unapoomba Nafasi ebu jifunze kuwa Mvumilivu mkuu Utaratibu Utendeke maana itakusaidia Mtaani ni kugumu zaidi kama utaendelea hivo na usisahau Unapoomba kazi usiweke Mategemeo sana maana itakuumiza endapo utakosa nafasi hiyo maana sio kila kazi utaitwa USAILI,UTAPATA UPDATES,AU UTAJUA NINI KINAENDELEA zingine juu kwa juu tu watu wanawekana sasa isikupe Stress pia wakati unasubiri kuitwa Usaili jaribu kuwa ma mishe nyingine za kuzugia zugia kama upo chuo uza hata Earphone,protector,phone covers mzee lasivyo kwa hii Awamu UTADATA.

Kila la kheri.
 
sisi kwetu kwa akina nshomile huwa tunaandaa ng'ombe mnono na kumpelekea mshika dau kwenye kitengo fulani hata wiki hazifiki utaskia anakupigia simu njoo na vyeti vyako uasini mkataba
Sawa NSHOMILE, alafu huko kwenu kuna Mapori ya yamepandishwa hadhi na kuwa hifadhi vipi yameshaanza kupokea watalii?
 
Msijiongeze nyie subirini Kuitwa....mimi hadi leo namsubiri yesu hadi nimeamua kufanya mishe zangu akirudi atankuta huko huko.
 
habari , .
vipi hapo wakuu ,
ni kuhusu tume ya utumishi wa mahakama ,je mikeka imechanika kisiri siri , ama imetema kisiri siri tu?

WAJUMBE,HAWA WA MAHAKAMA BADO TU? DAH ASEEE MPAKA 2MESAHAU
 
WAJUMBE,HAWA WA MAHAKAMA BADO TU? DAH ASEEE MPAKA 2MESAHAU
Radio mbao wanasema mwezi huu mwishon lazma muitwe so jiandae Mzee baba syo unasubiri kwa hamu then ukifika kule na kukutana na jaji mkuu unambwela
 
Back
Top Bottom