Vipi ushirikiano wa ACT na CHADEMA Monduli?

sheiza

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
7,564
11,478
Wakati wa kuelekea uchaguzi katika jimbo la Buyungu tuliona unafiki wa Mbowe na Zitto..sie waona mbali tulijua ile ilikuwa janja ya mbowe kuitaji sapoti ya zitto sababu alijua akimtumia zitto kule chochote chaweza tokea..ila Zitto hakuwa na jinsi maana siasa za sasa zimemkaba na anajiona wazi amebaki peke yake hivyo aweza kukubali chochote..
Tofauti na Buyungu, Monduli imekuwa kinyume..huko ni mtifuano wa ccm, ACT na chadema..kwa sasa mbowe hamuhitaji tena zitto sababu anajua nguvu anayo kupitia mzee lowasa..isitoshe lema pia yupo kule hivyo chadema hata bila zitto inaweza fanya vizuri..
Sasa tunajiuliza nini kilitokea Buyungu na nini kimebadili huo ushirikiano mwema huko Monduli ulioanza wa mbowe na zitto?
 
Back
Top Bottom