Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,844
Sasa nauliza na wewe unauliza huoni kama majwabu yanaweza kugongana ,mi nimetoka huko kwa vishindo unakuja wewe unaniharibia mudi,sijawahi hata moja ,ndio nikaomba msaada wa maneno ya kuanzia ,ila nimeokoteza na moja tayari nimeanza kulifanyia mazoezi ,ile kumkazia macho demu ,na hapo imeelezwa kwamba nisibabaike kutazama pembeni ,nimtolee mijicho kikwelikweli mpaka yeye awe wa mwanzo kutazama pembeni.Ila bado naona haya pengine nikimuuliza kipolepole yeye akajibu kwa sauti kubwa na ikawa ni fezeha ,maana hadi leo naona wanawake hawaaminiki anaweza akakupa neno mbele za watu ikabidi kubadilisha njia.
...ha ha haaa haa...usijeitiwa mwizi tu kaka, ha haa