Ama kweli!
JF inaweza kutoa hadi somo hili? I thought ni chemistry between 2 people!
Ngoja tusikie wataalamu watasema nini.
thats too banale!Mwambie I love you, can I kiss ur ass!
Mwambie I love you, can I kiss ur ass!
Mkabidhi key ya Mark II mpya, then huhitaji kuongea zaidi
Ha ha ha Wataalamu wa kutongoza wa JF Chemistry ni muhimu lakini kimwana hakivutiki na chemistry iliyopo kati yenu inabidi utembeze lugha, ulonge ili kimwana kikuelewe unasema nini. Ngoja tusubiri watalaamu katika nyanja hizi
...Ngoja tusikie wataalamu watasema nini.
... Ngoja tusubiri watalaamu katika nyanja hizi
...Ngoja tusubiri wataalamu wa fani hii walete nyimbo
BAK,
Kama huna kitu ndo issue. Madem nowadays wameshtuka na si enzi zile za 47, enzi za I love you kuliko ninavyojipenda, sijui usiku silali, nakuota wewe, etc. Ni wizi mtupu sasa
Ngoja tusubiri wataalamu wa fani hii walete nyimbo
Mtaani na kazini simple (itakuchukua kama mwezi mmoja hivi kama hakuna chemistry)Naomba kuwauliza eti vipi unamtongoza mwanamke ? Kuna mbinu zozote au ustadi wa kuweza kuwin msichana mzuri mtaani au kazini ? Au kwenye diskoparty ila sio kwenye baa ingawa naweza pia kuelezewa ka kunahitajika kaufundi ?
Naomba kuwauliza eti vipi unamtongoza mwanamke ? Kuna mbinu zozote au ustadi wa kuweza kuwin msichana mzuri mtaani au kazini ? Au kwenye diskoparty ila sio kwenye baa ingawa naweza pia kuelezewa ka kunahitajika kaufundi ?
To
Ms xyz
Secretary to....
Sub: Offer of love!
Dearest Ms Jxyz,
I am very happy to inform you that I have fallen in Love with you since the .....(date) of .....( Month).
With reference to the meeting held between us on the .....(date) of .....( Month). At (time), I would like to present myself as a prospective lover.
Our love affair would be on probation for a period of three months and depending on compatibility, would be made permanent.
Of course, upon completion of probation, there will be continuous on the job training and performance appraisal schemes leading up to promotion from lover to spouse.
The expenses incurred for coffee and entertainment would initially be shared equally between us. Later, based on your performance, I might take up a larger share of the expenses.
However I am broad minded enough to be taken care of, on your expense account.
I request you to kindly respond within 30 days of receiving this letter, failing which, this offer would be cancelled without further notice and I shall be considering someone else.
I would be happy, if you could forward this letter to your sister, if you do not wish to take up this offer.
Wish you all the best!
Thanking you in anticipation,
Yours sincerely,
Mwiba (Your title)
*mpige vizawadi vya mara kwa mara - hata chewing gum au pipi! (Kutongoza sometimes inabidi ujifanye Mseng.e ili ufanikiwe). lol
... lol
Naomba ufafanuzi wa uliyoyaandika hapo juu. Unafanya nini ili uonekane baradhuli ashakum si matusi ms****