Vipi tupac shakur alikufa kweli au bado yuko hai?

BORNCV

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
242
46
Habari!
Mimi hili suala la kifo cha 2pac linanichanganya sana, mbona halipo wazi kama vifo vya kina michael jackson, withney houstone, bob marley na wengine?
Kuna mtu yeyote mwenye taarifa za kueleweka za kufa au kutokufa kwake.
 
Mwezi ujao ninakwenda USA. Nimepanga kuonana naye Tupac mwenyewe na ntamuuliza kama bado yupo HAI.

Mwaka jana ameimba LIVE na wenzake akina Dre, Snoop, Eminem....

Hata mwaka 2017 atakuwa bado yupo hai: http://www.youtube.com/watch?v=eNHuOj7X5GA
 
Last edited by a moderator:
Habari!
Mimi hili suala la kifo cha 2pac linanichanganya sana, mbona halipo wazi kama vifo vya kina michael jackson, withney houstone, bob marley na wengine?
Kuna mtu yeyote mwenye taarifa za kueleweka za kufa au kutokufa kwake.
sio kosa lako,
kuna watu wanaamini hadi leo Bruce Lee yupo hai,
Kuna watu wanaamini hadi leo Bob marley yupo hai,
Kuna watu wanaamini hadi leo Princess Diana yupo hai,
Kuna watu wanaamini hadi leo Kanumba yupo hai,
kuna watu wanaamni hadi leo Nyerere yupo hai,

Kwahiyo mkuu endelea tu kuamini....
 
Endelea kuamini hivyo hivyo... Ilhali huvunji katiba we endelea tu.
 
sio kosa lako,
kuna watu wanaamini hadi leo Bruce Lee yupo hai,
Kuna watu wanaamini hadi leo Bob marley yupo hai,
Kuna watu wanaamini hadi leo Princess Diana yupo hai,
Kuna watu wanaamini hadi leo Kanumba yupo hai,
kuna watu wanaamni hadi leo Nyerere yupo hai,

Kwahiyo mkuu endelea tu kuamini....

Mkuu mathematics naomba ufanye editing,kwenye BB ongezea Balali.
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom