Vipi tena huko Egypt? Upinzani unaanza kulegeza kamba?Jee ni shinikizo la USA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vipi tena huko Egypt? Upinzani unaanza kulegeza kamba?Jee ni shinikizo la USA?

Discussion in 'International Forum' started by Nonda, Feb 6, 2011.

 1. N

  Nonda JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
 2. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Wamenunuliwa lakini nguvu ya umma inasema revolution sio ya vyama vya upinzani ni ya kwao kwa hiyo hawamtambui mtu yoyote kutoka upinzani kwenda kukaa na serikali ili wajadili mambo hao. Wamesema wao wameanzaisha revolution ya kumuondoa Mubarak sio vyama vya upinzani wa chukue nchi. Kazi kwelikweli huko:laugh: bado Tanzania sasa:roll:
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
 4. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #4
  Feb 6, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mmmhhh, but he is still the president!!!!
   
 5. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Kwa hai inavyoendelea Egypt inaonekana wazi Waisrael ndio watakaoshinda kwani wataweka kiongozi wamtakye tofauti na hapo mwanzo ilipoonekana kama US na Israel watakuwa looser. Wairan walie tu maana malengo yao hayatatimia
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  dah inakuwaje tena huko hakuna people's power
   
 7. N

  Nonda JF-Expert Member

  #7
  Feb 6, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Watu ni wataalamu, mpaka peoples power inachakachuliwa!!
  Na inavyoonekana USA na Israel ndio wanaosuka deal hii ya kuichakachuo peoples power huko Egypt.....wanaogopa Muslim brotherhood Egypt..Hamas Gaza.

  Wikileaks imefanya mambo yake sasa hawakuangalia yanayoweza kufumuka pale jamii itakapodai utawala wanaoutaka...sasa USA wanaiteka nyara demokrasia wanayoipigia domo. Demokrasia kwao ni kuchagua mtu atakaefuata maelezo yao..
   
 8. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #8
  Feb 6, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kama hiyo kamati itatimiza matakwa ya wananchi who cares who is in power? Unless malengo yawe mengine!
   
 9. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Haiwezekani hata siku moja kamati kama hiyo ikatimiza matakwa ya wananchi walio wengi; mara nyingi kamati hutimiza malengo ya wale waliowateua kuwa kwenye hizo kamati!!
   
 10. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #10
  Feb 6, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Hawa hawajanunulia wala nini ila ni uoga na hofu iliyojaa mioni mwao halafu ni kama wengi ni bendera fuata upepo, ndo maana hawawezi kuandamana kwenda ikulu, hovyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
   
 11. ANKOJEI

  ANKOJEI JF-Expert Member

  #11
  Feb 8, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  usa&israel will make sure a new leader is approved by them,
  kumbuka, iran na palestina wako underground wanasuka mambo,
  kazi kweli kweli,

  juu mbali chini mwamba.
   
Loading...