Vipi Selection za Diploma of Education zinatoka lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vipi Selection za Diploma of Education zinatoka lini?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Msafiri Kasian, Jul 16, 2012.

 1. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Nimeuliza kwasababu nilifanya applications na mpaka sasa sijaona taarifa zozote kuhusu selectiona zao. Kama kuna mwenye taarifa za lini yanaweza toka,kwasababu muda wa kwenda chuo najua unaanzaga july.
   
 2. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  swali zuri sana hilo..wengi tunataka kujua
   
 3. t

  thatha JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  subiri watatangaza kiherehere cha nini?
   
 4. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  sio kiherehere,hali ya tcu we mwenyewe siunaiona? Ndo maana nimeshaanza kutazama alternative 2. Alafu isitoshe JF ni chanzo cha habari kwangu,kama wewe haufahamu kitu kuhusu nilichouliza,ni bora ungekaa kimya ili wanaojua waseme.
   
 5. Hansy wa East

  Hansy wa East JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 449
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Ugali 2lia acha kumdiscourage mwana!
   
 6. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  nasikia mwaka wa pili wa diploma wamefungua jana huko marangu alafu ni cha serekali sasa sijui inakuaje hapo...
   
Loading...