umri wake na wake watatu ana wamudu kweli?
Mkuu mi nadhani mada kama hizi zaweza kua na maudhui mengi japo kunaweza kutokea jokes kwenye discusion na mambo mengine...Nayo hii nakili kutoka kwako ni scheme of service???
Hayo ya sheria nafikiri sheria inapotajwa hutajwa iko katika kifungu fulani ana inasema namna gani. Huu mtindo wa matakwa na hisia za watu kulitolea ufafanuzi jambo halina nafasi hapa!!
Jamani wana JF na wana jukwaa la siasa naomba kuuliza.
Je ofisi ya makamu wa rais imehamishiwa kwenye mbuga za wanyama siku hizi??...Maana tangu mwezi wa 12 mwaka jana vyombo vya habari vinaripoti yupo ziarani kwenye mbuga za wanyama na wakeze wawili!!
Je hii ndo ilikua sababu ya kugombea umakamu wa raisi? Miaka yote alikua kwenye uongozi hakupata fursa za kutembelea mbuga?? Mzee tunakuhitaji ofisini utatue matatizo ya nchi...loh!!!!
View attachment 20030View attachment 20031
Jamani yaani makamu asipumzike? Mna lenu jambo! Si bure!
Ivuga,
..lakini Makamu wa Raisi kaandikwa kibarua miezi miwili iliyopita. sasa tayari anachukua likizo kwenda kuangalia wanyama?
..hivi kwa walalahoi huchukua muda gani mpaka accumulate siku za likizo?
..ONLY IN TANZANIA. ingekuwa nchi zilizoendelea kiongozi wa umma hawezi kufanya mambo ya kitoto hivyo.
Ivuga said:unakosea sana mkuu, sasa nchi zilizoendelea ndio wanapenda sana kupumzika kuliko hata unavyofikiria wewe, kwani likizo za mwaka mpya obama naye si alienda kupumzika, nisingekuwa viamobile ningekutundikia na picha hapa, na wananchi wake hawawezi kulalamika, sasa huyu ni mafano wa kuigwa kama alilipia gharama za kwenda huko mbugani yeye na familia yake.na watu wote inabidi tumuige.hii kitu inaongeza hata life expectance jamani
Utalii wa ndani.
Si unajua tena Zenji hakuna mbuga!!
Akimaliza Dr. zamu ya Shamsi Vuai inafuatia.