Vipi nitaepukana na wizi/rushwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vipi nitaepukana na wizi/rushwa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tindikalikali, Jul 9, 2011.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Kila ninayekutana naye na nikamwambia nichosomea, ananiuliza "umeamua kuwa mwizi"? Hii ni kutokana na fani yangu kuhusika na "manunuzi na ugavi",, hivi ni kweli katika fani hii wizi haukwepeki? Mwenye uzoefu naomba anijuze.
   
 2. f

  fazili JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,192
  Likes Received: 404
  Trophy Points: 180
  unaweza kukwepa wizi ni wewe mwenyewe lakini ngumu mkuu inabidi umwombe Mungu sana
   
Loading...