Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Umesema kuhusu Tissue za Mafarao. Sasa yule Farao wa Misri aliomsumbua Sana Mussa na wana wa Israel. QURAN imesema mwili wake utahifadhiwa. Wala hautooza ili iwe fundisho kwa vizazi vijavyo. Na ndio maana mpaka leo ukienda Misri utaukuta mwili wake na ndani ya mwili wake kuna organs zote kama moyo, mapafu , utumbo nk. Heby jiulize toka Enzi za Mussa mpaka leo ni miaka Mingapi?

Quran inasema hivi:-
10:90-92
90.
Tukawavusha bahari Wana wa Israili, na Firauni na askari wake wakawafuatia kwa dhulma na uadui. Hata Firauni alipo kuwa anataka kuzama akasema: Naamini kuwa hapana mungu ila yule waliye muamini Wana wa Israili, na mimi ni miongoni mwa walio nyenyekea!

91.
Ala! Sasa? Na hali uliasi kabla yake na ukawa miongoni mwa mafisadi!

92.
Leo, basi, TUTAKUOKOA KWA MWILI WAKO, ili uwe ISHARA kwa ajili ya walio nyuma yako. Na hakika watu wengi wameghafilika na Ishara zetu.
sasa huoni kama hayo maandishi yalikuwepo baada ya Musa na miaka mingi kupita, ingekuwa ina maana kama yangeandikwa kabla ya Musa kuja
 
sasa huoni kama hayo maandishi yalikuwepo baada ya Musa na miaka mingi kupita, ingekuwa ina maana kama yangeandikwa kabla ya Musa kuja
Hujailewa challenge yangu. Ili ku disprove fact hiyo jaribu kudestroy huo mwili.
Ohh na ukitaka vitu vilivyotabiriwa kabla na vimegundulika hivi karibubi mbona viko vingi tu .Anza na the Big Bang Theory. Wameigundua juzi juzi tu lakini Quraan imesema over 1400 years.
 
siku wakiprove kuwa hakuna singularity, blackholes, wormholes na big bang sijui utaficha wapi uso. maana hizo zote hazina uthibitisho.
 
Mzee mimi sipo kwenye hii maada kiimani! nipo Hihistoria! Ni Prove gani aliyoitoa mtoa maada kimaandiko, Ameulizwa hapa alete kifungu kinachozungumzia Blackhole kwenye maandiko tuone!
Kuamini sio lazima kiwe kitabu cha dini,kitabu chochote unachokiamini wewe,ikiwa ni cha history,jeogradia,fizikia,kemia nk
 
Black hole aya hio hapo, (At-Takwir: 15-19) [So verily, I swear by the stars that are veiled . And by the (sweeping ) stars that move swiftly and hide themselves. And by the night as it departs; And by the dawn as it brightens; hio ndo Quran alio shushiwa mtume amani iwe ju yake kwa kupitia malaika Jibriel nyie mna mwita Gabriel
hio alama nyekundu ndo sifa za blackhole ikiwa space.
 
io ni miujiza ya Mungu mkuu ye nod mwenye ulimwengu
sio kawaida kabisa ni miujiza yeye mwenyewe kasema kwenye aya zake “We will show them Our Signs in the universe, and in their own selves, until it becomes manifest to them that this (the Quran) is the truth”
 
Dah Black holes!! Katisha sana hahahaa
ushaidi nimetoa wewe umeona black holes wormholes unazijua wewe? mbona na mengine ulizi? ebu acha uvivu soma thread yote vizuri utaona wezanko wameuliza the same na wamejibiwa na aya wamepewa
 
Mtume kazaliwa kayakuta hayo yote yapo, ni uvivu wako tu wa kusoma, wewe umekaa na kitabu kimoja tu tena unasomewa na kutafsiriwa na viongozi wako
na pia ukae ukijua Mtume ndio kaja kuiua kabisa Sayansi ya Waarabu waliyoiiba kule kwa watu weusi wa Misri, Sudan na Ethiopia,

Wewe unachokiamini ndicho wanazuoni walipokuwa wanawakataza Wanasayansi wasiangaike kufanya tafiti zao za Kisayansi kwani Sayansi yote iko ndani ya Quran, watu wakaacha kufanya tafiti wakaanza kujikita kwenye kuitafuta sayansi kwenye Quran na mwisho wake ndio ikaiua kabisa Sayansi hiyo ya Mwarabu

Sayansi yote ya Dunia iko ndani ya Mapiramidi na mapango ya huko Misri, kila kitu kimo humo
Naona kama ka-ukweli hivi
 
siku wakiprove kuwa hakuna singularity, blackholes, wormholes na big bang sijui utaficha wapi uso. maana hizo zote hazina uthibitisho.
Tusubirie hiyo siku. Nadhani Yesu atarudi bado hawaja dissprove. Ila kwenye bible wameshadisprove vingi tu
 
Tusubirie hiyo siku. Nadhani Yesu atarudi bado hawaja dissprove. Ila kwenye bible wameshadisprove vingi tu
Bible enyewe ina makosa kibao hadi basi na bible imekua proved wrong saana. bible enyewe ilikua ile angano la kwanza tena ile kidogo maana ilitiwa maneno ya watu.
 
Msipende kudanganya watu n'a uvivu wa kusoma vitabu vingne, science n'a technologie vlikuwepo even before Christ
 
Thread za udini humu ndani zimezidi hasa za Islams sijuw kwann mtu amesoma kitabu kmoja anajkuta anajua anapost bila aibu n'a kufkir, fanya research uone hata kabla ya Christ vlikuwepo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom