Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Hakuna katika Qur'an haya umeandika hapa.Itakuwa uwelewa wako mdogo
1.Hakuna sehemu Qur'an imesema mbingu zimepangana kama maghorofa
2.Hakuna sehemu Qur'an imesema jua linazama kwenye tope,kilichoandikwa ni huyo aliyetajwa katika Qur'an ,NDIO ALIONA JUA LINAZAMA kwenye tope,hii ni sayansi tosha,yakuonyesha kama uoni wa binadamu una masafa yake ya kuona.Hata ukiwa baharini,jua likizama utaona linazama baharini,kwa upeo wa uoni wa kibinadamu.

Hakuna katika Qur'an haya umeandika hapa.Itakuwa uwelewa wako mdogo
1.Hakuna sehemu Qur
Sasa unakataa na kukubali wewe mwenyewe! mimi na wewe huyo Qathem(Muhammad) nani uelewa mdogo?
je, sayansi inasema jua linazunguka/tembea na kwenda kuzama matopeni kukubaliana na qurani yako??
 
15.uniqueness of human fingertips

16.formation of milk in cattles

17.rain is in due measure

18.formation of rain through fecundating wind

19.function of mountains as pegs and balancing

20.sky as the protected roof

21.swimming of objects in the sky in orbits

22.falling of iron from the sky
 
Haaa so funny!
ama kweli hakuna Mungu isipokuwa Allah!
Lazima ufahamu,ukisoma tafsiri kitoka lugha moja kwenda nyingine,inakuwa tofauti na kusoma kitu kile kile kwenye lugha yake ya asili.Kwa sababu kila lugha inaendana na utamaduni wa wenye hiyo lugha.Kwa hiyo wengi wa wasiojuwa kiarabu,huwa wanasoma tafsiri ya Qur'an sio Qur'an yenyewe.Maana hata hiyo Qur'an ya kiarabu,inayotafsiri yake kwa kiarabu(yaani ufafanuzi).
Kwa mfano katika Lugha ya kiingereza,mwanaume aweza kumuuluza mwanamke GRACE,Will You Marry Me?Ukitafsiri kiswahili itakuja Grace,utanioa mimi?Kwenye kiswahili hakuna utamaduni huo wa mwanamke kumuoa mwanamme,ila mwanamme ndiye anayeoa,mwanamke anaolewa.Lakini kwa utamaduni wa kiingereza,mume aolewa na mwanamke akamuoa mume,mke aolewa na mume akamuoa mke,kote kote kunakubalika.
 
1. Hapana Hakua hai
2. walivushwa baharini.
3. Ndio vyote vilisha tokea
4.nini cha ajabu hapo? cha ajabu hapo kisa cha firauni na mussa kuna mafunzo yakuji funza kutoka kwenye visa vyao, napia science ya sasa imekuja kugundua 1889 miaka hio kama sija kosea na huyu mwili wake haku fanyiwa hi fadhi kama ma pharaoh wengine huyu ali hi fadhiwa na Mwenyezi Mungu ili mpate kujifunza na muogope mungu.
5. ndio historia. watu tuna jifunza kwenye historia tuna jua tuliko tokea tulipo na tunapoelekea ndo maana vitabu vyote via historia.
 
Sasa unakataa na kukubali wewe mwenyewe! mimi na wewe huyo Qathem(Muhammad) nani uelewa mdogo?
je, sayansi inasema jua linazunguka/tembea na kwenda kuzama matopeni kukubaliana na qurani yako??
Nafikiri wewe hii aya huijui vizuri,hii aya imezaa na kisa cha mtu aliyekuwa akisafiri(ni historia,anaelezewa Mtume Muhammad(sio Mtume Muhammad aliyeona)).Huyo mtu kwa upeo wake wa macho ndio aliona jua linatua(sio kuzama) kwenye tope.Aliyeona huko kutua(sio kuzama) jua sio Mtume Muhammad(zingatia hilo).
 
Sio kweli kaka, Muhamad kaja kakuta Dunia imeshaendelea sana tu, hapo Uarabuni kulikuwa na WanaSayansi wengi mno, kulikuwa na wataalamu wa Anga, madawa, Chemistry, Physics nk, Kilichoandikwa kwenye Quran kilikuwepo muda mrefu kabla ya huyo Muhamad
vitu vingi hapo vimeginduliwa karne ya 19,hebu niambie formation of muscles na bones kua kipi kinatangulia kutokea, niambie hiyo kitu iligunduliwa lini?, niambie tuligundua lini kua finger tips ni ya upekee wa kila mtu
 
Yep imeeleza vitu vilivyokuepo na vijacho. Yaani ukitaka kujua na vijacho vimo huo farao wa Mussa Jaribuni kuutokomeza mwili wake. Fanya uharibifu wa aina yoyote ile uone kama utafanikisha. Ukifanikisha Quran itakua ya uongo!! Maana hilo andiko utakua umelibadili.
Kweli kabisa zimefanyika attempt nyingi za kuharibu mwili wa farao lakini zimeshindikana,Quran imesema mwili umewekwa pale ili kua ushahidi kwa vizazi na vizazi
 
MAKAFIRI(WAKRISTO na MANASWARA) HUWA HAWAJUI KITU HATA الله ametueleza katika QUR'AN SO HAINA HAJA YA KUBISHANA NA MAJAHILI WA KIKUFAAR (WAJINGA)
 
Bila shaka nakufahamu shekhe
Nasmapesa/Jaffar Hebu leteni fact hapa.
Farao alikufa hata Yesu hajazaliwa. Qathem(Muhammad) kaibuka baada ya Yesu takribani miaka 500 na ushee baada ya Yesu kuondoka. sasa hii quran iliyoandika kuwa Farao ahifadhiwe ili tujifunze kwake iliandikwa na nani ama alishushiwa nani?
Bado unapost eti alikubali kuwa Mungu wanayemwamini wan wa Israel ndiye wa kweli.
Je, Wayahudi/Israel wanamuabudu Allah?
 
Ni vizuri ukaleta hizo copy za kwenye biblia tafadhali
Bible enyewe ina mikono ya watu wengi mara angano jipya,lingine watu wanaka kumiza kichwa kuweka masilahi yao ya kidunia ime editiwa mpaka imepotea.
 
Nasmapesa/Jaffar Hebu leteni fact hapa.
Farao alikufa hata Yesu hajazaliwa. Qathem(Muhammad) kaibuka baada ya Yesu takribani miaka 500 na ushee baada ya Yesu kuondoka. sasa hii quran iliyoandika kuwa Farao ahifadhiwe ili tujifunze kwake iliandikwa na nani ama alishushiwa nani?
Kisoda mbona una ji changanya saana aim dhamira yako nini hasaa??? kutafuta kosa? kuelewa yani kujifunza au unataka kujua science humu au kujua kwa haya? mie naona kama una jibu unalo hapo na jibu lipo clear hapo unacholiza hata mtoto wa madrasa anajibu kabisa.
 
hiyo sayansi ya quran ndio kutuambia kuwa ndunia ipo flat na mbingu zimejipanga kama ghorofa(parallel) ama jua linatembea na kwenda kuzama kwenye dimbwi la tope?
Naomba nikujibu kama ifuatavyo

Kwanza kabisa lete andiko kutoka kwa Quran ambapo
Dunia iko flat.

Pili
disprove kuwa mbingu saba haziko parallel.

Tatu.
Jua kuzama kwenye dimbwi ni vision ya mtu aliokua akielezewa.

MIE ninayo mengi tu kutoka kwa biblia ambayo ni uongo mtupu
1.DUNIA NI DUARA.
Isaya 40:22
Kuna Yeye anayekaa juu ya duara la
dunia,+ambayo wakaaji wake ni kama panzi, Yeye anayetandaza mbingu kama shashi bora, anayezitandaza kama hema la kukaliwa ndani

2. DUNIA NI PEMBE NNE
Isaya11:12
Naye hakika atainua ishara kwa ajili ya mataifa na kukusanya watu wa Israeli waliotawanywa;+ na watu wa Yuda waliotawanywa atawakusanya pamoja kutoka miisho minne ya dunia.


isaiah 11:12
12 And he shall set up an ensign for the nations, and shall assemble the outcasts of Israel, and gather together the dispersed of Judah from the FOUR CORNERS OF THE EARTH. (KJV)

Revelation 7:1
1 And after these things I saw four angels standing on FOUR CORNERS OF THE EARTH, holding the four winds of the earth, that the wind should not blow on the earth, nor on the sea, nor on any tree. (KJV)

Job 38:13
13 That it might take hold of the ENDS OF THE EARTH, that the wicked might be shaken out of it? (KJV)

Jeremiah 16:19
19 O LORD, my strength, and my fortress, and my refuge in the day of affliction, the Gentiles shall come unto thee from the ENDS OF THE EARTH, and shall say, Surely our fathers have inherited lies, vanity, and things wherein there is no profit. (KJV)

Daniel 4:11
11 The tree grew, and was strong, and the height thereof reached unto heaven, and the sight thereof to the ENDS OF ALL THE EARTH: (KJV)

Matthew 4:8
8 Again, the devil taketh him up into an exceeding high mountain, and sheweth him all the kingdoms of the world, and the glory of them; (KJV)

Astronomical bodies are spherical, and you cannot see the entire exterior surface from any place. The kingdoms of Egypt, China, Greece, Crete, sections of Asia Minor, India, Maya (in Mexico), Carthage (North Africa), Rome (Italy), Korea, and other settlements from these kingdoms of the world were widely distributed.



The flat Earth is established and can never move?! The Sun hurries back to where it rises?!

"He set the earth on its foundations; it can never be moved. (From the NIV Bible, Psalm 104:5)"

"The LORD reigns, he is robed in majesty; the LORD is robed in majesty and is armed with strength. The world [The deceiving translators should've said "earth", not "world"] is firmly established; it cannot be moved. (From the NIV Bible, Psalm 93:1)"

"Say among the nations, "The LORD reigns." The world [Again, the deceiving translators should've said "earth", not "world"] is firmly established, it cannot be moved; he will judge the peoples with equity. (From the NIV Bible,Psalm 96:10)"

"The sun rises and the sun sets, and hurries back to where it rises. (From the NIV Bible, Ecclesiastes 1:5)"

Since when the Earth is flat and can never move?! We all know that the Earth and the other planets rotate and move in space around the Sun. Since when the Sun hurries back to where it rises, like if there is some hole it rises from and another hole it sets through on Earth?!


The Earth has pillars?!

"He shakes the earth from its place and makes its pillars tremble. (From the NIV Bible, Job 9:6)"
"Where were you when I laid the earth's foundation? Tell me, if you understand. (From the NIV Bible, Job 38:4)"


The Earth has Edges?!

"that it might take the earth by the edges and shake the wicked out of it? (From the NIV Bible, Job 38:13)"
"He unleashes his lightning beneath the whole heaven and sends it to the ends of the earth. (From the NIV Bible,Job 37:3)"
"for he views the ends of the earth and sees everything under the heavens. (From the NIV Bible, Job 28:24)"
"Their measure is longer than the earth and wider than the sea. (From the NIV Bible, Job 11:9).
 
Mtume kazaliwa kayakuta hayo yote yapo, ni uvivu wako tu wa kusoma, wewe umekaa na kitabu kimoja tu tena unasomewa na kutafsiriwa na viongozi wako
na pia ukae ukijua Mtume ndio kaja kuiua kabisa Sayansi ya Waarabu waliyoiiba kule kwa watu weusi wa Misri, Sudan na Ethiopia,

Wewe unachokiamini ndicho wanazuoni walipokuwa wanawakataza Wanasayansi wasiangaike kufanya tafiti zao za Kisayansi kwani Sayansi yote iko ndani ya Quran, watu wakaacha kufanya tafiti wakaanza kujikita kwenye kuitafuta sayansi kwenye Quran na mwisho wake ndio ikaiua kabisa Sayansi hiyo ya Mwarabu

Sayansi yote ya Dunia iko ndani ya Mapiramidi na mapango ya huko Misri, kila kitu kimo humo
Qurani imeyakuta yote hayo. Sayansi ilikuwepo toka enzi na enzi Za Bibilia kwa mfano Luka yeye alikuwa daktari enzi hizo hata ndoto ya kuja kuwepo quran ilikuwa haipo, Ayubu enzi zile yeye alizungumzia kuhusu uviringo wa dunia.kama hujaisoma bibilia utasema vinginevyo.
 
vitu vingi hapo vimeginduliwa karne ya 19,hebu niambie formation of muscles na bones kua kipi kinatangulia kutokea, niambie hiyo kitu iligunduliwa lini?, niambie tuligundua lini kua finger tips ni ya upekee wa kila mtu

Kwa sababu husomi vitabu vingine, maana unazungumzia kugundulika au kutangazwa?, Egpty wameyajenga hayo Mapiramidi kwa kusafirisha mawe kutoka mbali na kuyapandisha mpaka juu kwa kutumia kanuni za Gravity, baada ya miaka zaidi ya 5000 ndio Newton kaja kuiandikia, lakini ilishajulikana kitambo

Hayo mambo ya Muscles na bones waulize wachina, wahindi na Wamisri wa zamani walikuwa wanafanyaje kupreserve wafiwa wao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom