Vipi mshahara wa November?

Kungekuwa na tarehe maalumu ya kutoka mshahara Mara 22,23,25.28 kwa hiyo usipokuwa care unadhalilika
 
Walikua na mkataba wa kuongezewa mshahara mwezi huu? nauliza tu, mie mtembezi nilikua mtaani ndio nimerudi
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom