Mbingo JF-Expert Member Mar 20, 2014 411 230 Nov 22, 2016 #1 Habari, Watumishi vipi mshahara wa November umeshatoka au bado?
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Aug 7, 2014 80,112 92,541 Nov 22, 2016 #2 Pigeni kazi, leo tarehe 22 mnauliza mshahara jamani?
FORCE NAMBA JF-Expert Member Aug 19, 2014 937 327 Nov 22, 2016 #4 Kungekuwa na tarehe maalumu ya kutoka mshahara Mara 22,23,25.28 kwa hiyo usipokuwa care unadhalilika
N ndeambase JF-Expert Member Sep 30, 2016 626 312 Nov 22, 2016 #5 Na sijui kwa nini mishahara kwa watumishi wa umma hatujaongezewa yani No any changes
ITEGAMATWI JF-Expert Member Jan 26, 2012 5,308 4,029 Nov 22, 2016 #7 Usitarajie mabadiliko yoyote ya mshahara mwezi huu
Mcheza Karate JF-Expert Member Jun 30, 2011 690 350 Nov 22, 2016 #8 ndugu Mbingo daima huwa wa kwanza kuleta mada ya kuuliza mshahara, huna SIM BANKING?
N ndeambase JF-Expert Member Sep 30, 2016 626 312 Nov 22, 2016 #9 Mimi kwa uelewa wangu hadi sasa uchumi utakua vizuri serikalini lakini kwa wananchi wa kipato cha chini noooooo hamna kitu ni fedheha tupu
Mimi kwa uelewa wangu hadi sasa uchumi utakua vizuri serikalini lakini kwa wananchi wa kipato cha chini noooooo hamna kitu ni fedheha tupu
Gaspare Mbile JF-Expert Member Aug 30, 2016 1,569 1,599 Nov 22, 2016 #11 Aisee njaa imetahamaki,nawatamani sana mnaoulizana mishahara nipo kitaa sina hata buku.
Mbingo JF-Expert Member Mar 20, 2014 411 230 Nov 22, 2016 Thread starter #12 Mcheza Karate said: ndugu Mbingo daima huwa wa kwanza kuleta mada ya kuuliza mshahara, huna SIM BANKING? Click to expand... Kwani shida ni ipi kwani kila mtu amejiunga
Mcheza Karate said: ndugu Mbingo daima huwa wa kwanza kuleta mada ya kuuliza mshahara, huna SIM BANKING? Click to expand... Kwani shida ni ipi kwani kila mtu amejiunga
KIBEHA JF-Expert Member Jul 14, 2013 259 128 Nov 22, 2016 #13 Walikua na mkataba wa kuongezewa mshahara mwezi huu? nauliza tu, mie mtembezi nilikua mtaani ndio nimerudi
Walikua na mkataba wa kuongezewa mshahara mwezi huu? nauliza tu, mie mtembezi nilikua mtaani ndio nimerudi
Mbingo JF-Expert Member Mar 20, 2014 411 230 Nov 22, 2016 Thread starter #15 Kyampisi said: Upo bwana Mbingo? Click to expand... Ndio
logframe JF-Expert Member Aug 19, 2014 4,240 5,527 Nov 22, 2016 #16 Kweli ukiajiriwa unakuwa na njaa hivi? Kweli serikalini mnabweteka wengi
Freyzem JF-Expert Member Jun 29, 2013 10,024 24,374 Nov 22, 2016 #17 Umetoka... Npo hapa nakata kiu...
essaugervas JF-Expert Member Jun 25, 2016 581 278 Nov 22, 2016 #18 kwa hyo unatagemea mshahara tu bwana mbingo
Mbingo JF-Expert Member Mar 20, 2014 411 230 Nov 22, 2016 Thread starter #19 essaugervas said: kwa hyo unatagemea mshahara tu bwana mbingo Click to expand... Ndio
Ghosryder JF-Expert Member Jul 6, 2014 10,300 4,282 Nov 22, 2016 #20 Mbingo said: Habari watumishi Vp Mshahara wa November Click to expand... Umetumwa?