Elections 2010 Vipi mgombea Lwakatare na Bukoba?

40118_1571024089403_1649526898_1297732_5455091_n.jpg

Good thread, Lwakatare got sucker punches.... inanikumbusha ile ya mama kilango (chanjila)

- Sawa sawa mkuu umeeleweka!

Es!
 
Amechukua likizo ndefu baada ya kuchoka na kampeni, atarejea kufanya kazi za kujenga chama.
 
Alikimbia kwenda wapi? umeuliza maswali na majibu umepewa sasa unalaumu hakufanya utafiti wa kutosha........je wewe utafiti wako uko wapi? N akama upo bsi uliuliza maswali ya nini? yaelekea unayo majibu kibindoni na unatusanifu hapa..............

Field Marshall Es has ulterior motives for asking that - and is an absolute dud.
 
Wananchi wa bukoba tunasikitika sana kuona Serikali inatutawala kwa mkono wa mzungu mweusi balozi. Kwa ukweli ni kwamba wananchi tulipigwa goli la mkono linaloonekana kama gori la kisigino. Yan kura zilifanyiwa mizenge ,zikahesabia usiku mpaka cku inayofuata saa nane tukatangaziwa mahajabu ayo. Hamna anayeamini pale bkb town,huu si umbeya piga hata simu uulizie,kama kuna mtu aliyebanwa kijanja kura za mwaka huu,basi LWAKAURE anabeba tuzo. Kwa ukweli nionavo pale kwetu bkb Lwakatare atakuwa ameisha kisiasa. Mkuu huyu balozi ana upeo mkubwa wa mambo ya serikali na kumzidi ujanja ujanja kijana wetu,na hii binafsi naona serikali imeamua kuliteka jimbo mpaka hata apo itakapoamua. Si leo wala kesho. Nasema pole Lwakatare,I need no question,but may i say thanks to the thread poster!
 
- Mkuu ukimsogelea jamaa muulize vipi kule jimboni vipi mbona kakimbia kabla ya matokeo kutangazwa? Au alichukua mpango na kukiuza chama na wananchi waliompigia kura?

- Njaa bwana kweli inaua hata mchawi! Bwa! ha! ha!

Es!

Duh!!! Jamaa anaweza kunitoa baru. Kusema ukweli njaa ni issue kubwa sana kwa wapinzani wengi. We angalia tu mwisho wa Bunge hili utakavyokuwa kwa upande wa wapinzani.
 
- Wakuu heshima mbele sana, naomba kuuliza vipi mgombea wa Chadema kule Bukoba, ambaye pia huko nyuma aliwahi kuwa mbunge, na pia aligombea tena mwaka huu kupitia Chadema Ndg. Rwakatare, mbona hakuna tena habari zake na huu uchaguzi?

FMEs!

Huyu bwana hakuwa na haja ya kungoja msimamizi atangaze mshindi, matokeo alikuwa nayo toka kwa mawakala wake vituoni na aligundua mapema kura hazikutosha, kuondoka ilikuwa aibu ya kushindwa.
Kwa sasa anasubiria Chadema makao makuu labda anwezwa kutupiwa 'UKAIMU' Naibu Katibu Mkuu kwa vile waliokuwa wakifanya kazi za makao makuu karibu wote wameukwaa ubunge..
 
Kweli kuna wazushi duniani.nadhani aliyeanzisha mada ya lwakatare kukimbia kabla ya matoke ni profesa wa uongo.nilikuwa naye usiku mzima ktk hotel ya fiosmini mali ya mdogo wake kwani ndipo tulikuwa tunaratibu matokeo.siku mbili baadaye aliitisha mkutano kushukuru kamati na madiwani waliochaguliwa wa chadema hoteli hapohapo,siku mbili baadaye akaitisha mkutano wa hadhara bkb sokoni ili kushukuru wananchi na kuaga,alikuwa bmakwenda dar kwa shughuli za kichama.mkutano ambao polisi waliuzuia dakika za mwisho hali walishatoa kibali hadi ikabidi polisi walipe chadema gharama zote walizotumia.so anayesema lwakatare aliondoka kabla ni mbumbumbu wa jambo hilo au anapotosha kusudi
 
Jamaa yule anafahamika kwa dataz za kutungwa, uzushi na uongo! Aliisha leta habari za kazi za majuu
 
Back
Top Bottom