Elections 2010 Vipi mgombea Lwakatare na Bukoba?

Apr 27, 2006
26,584
10,391
- Wakuu heshima mbele sana, naomba kuuliza vipi mgombea wa Chadema kule Bukoba, ambaye pia huko nyuma aliwahi kuwa mbunge, na pia aligombea tena mwaka huu kupitia Chadema Ndg. Rwakatare, mbona hakuna tena habari zake na huu uchaguzi?

FMEs!
 
Mkuu FME,
Lwakatare walimchakachua mchana kweupeee, tena hadi aibu kubwa! Kura za Dr. wa ukweli ninyingiiiiiii afu eti ubunge Kagasheki kamzidi kwa kura za kiganjani... haingiii akilini, ni uchakajuaji tu!

Kwa kifupi BKB mjini ni kama ilivo shy town, Karagwe, Kibaha, Segerea and the list ......

- Rwabugiri heshima yako bro, fanya utafiiti wa kina kwanza kama kweli unavyosema ndivyo ilivyokuwa, kwa nini Rwakatare alikimbia kabla ya matokeo kutangazwa?

Es!
 
Alikimbia kwenda wapi? umeuliza maswali na majibu umepewa sasa unalaumu hakufanya utafiti wa kutosha........je wewe utafiti wako uko wapi? N akama upo bsi uliuliza maswali ya nini? yaelekea unayo majibu kibindoni na unatusanifu hapa..............
 
- Ningekuwa na majibu nsingeuliza maswali, kama huna majibu tulia pembeni wapo watakuja wenye majibu huna sababu ya kuleta jazba hapa kwa ishu ambayo huijui!

Es!
 
kwa hiyo kumbe wewe unajua kila kitu kuhusu kushindwa ama kushinda kwa Rwakatale siyo

- Ningekuwa ninajua ningesema tayari, kama hujui basi subiri wanaojua watakuja tu hapa maana this is JF na huyu RWakatare ni mgombea wa Chadema wapo wanaojua kilichotokea!

- Wengine mtanisamehe sana maana siwezi kujibu longo longo zisizo na tija kwa taifa, uchaguzi umeisha walioshindwa wameshindwa walioshinda wameshinda tunasonga mbele, hatuangalii nyuma ama sivyo tutaanza kulia lia kuibiwa kura ndio maana huwa tunaangalia mbeleee!

Es!
 
baada ya kutemwa na cuf, lwakatare alidhani kuhamia chadema angechaguliwa kuwa mbunge lakini wananchi wamempiga chini sasa hana cha kuongea na anahitaji msaada wa chadema angalau wampe kacheo fulani ili kumsitiri maana kwa kweli jamaa anaadhirika!!!!
 
- Rwabugiri heshima yako bro, fanya utafiiti wa kina kwanza kama kweli unavyosema ndivyo ilivyokuwa, kwa nini Rwakatare alikimbia kabla ya matokeo kutangazwa?

Es!

- Ningekuwa ninajua ningesema tayari, kama hujui basi subiri wanaojua watakuja tu hapa maana this is JF na huyu RWakatare ni mgombea wa Chadema wapo wanaojua kilichotokea!

- Wengine mtanisamehe sana maana siwezi kujibu longo longo zisizo na tija kwa taifa, uchaguzi umeisha walioshindwa wameshindwa walioshinda wameshinda tunasonga mbele, hatuangalii nyuma ama sivyo tutaanza kulia lia kuibiwa kura ndio maana huwa tunaangalia mbeleee!

Es!

wewe mkuu unaonekana una majibu ya thread yako mfukoni, maana unaonekana kuyapinga baadhi ya majibu ya wanajf
rejea hiyo post yako niliyo bold ili usionekane unabwata
 
baada ya kutemwa na cuf, lwakatare alidhani kuhamia chadema angechaguliwa kuwa mbunge lakini wananchi wamempiga chini sasa hana cha kuongea na anahitaji msaada wa chadema angalau wampe kacheo fulani ili kumsitiri maana kwa kweli jamaa anaadhirika!!!!

- Sawa sawa mkuu, pole pole tunasogelea ukweli, pamoja sana hapo!

Es!
 
- Wakuu heshima mbele sana, naomba kuuliza vipi mgombea wa Chadema kule Bukoba, ambaye pia huko nyuma aliwahi kuwa mbunge, na pia aligombea tena mwaka huu kupitia Chadema Ndg. Rwakatare, mbona hakuna tena habari zake na huu uchaguzi?

FMEs!

- Rwabugiri heshima yako bro, fanya utafiiti wa kina kwanza kama kweli unavyosema ndivyo ilivyokuwa, kwa nini Rwakatare alikimbia kabla ya matokeo kutangazwa?

Es!

- Ningekuwa na majibu nsingeuliza maswali, kama huna majibu tulia pembeni wapo watakuja wenye majibu huna sababu ya kuleta jazba hapa kwa ishu ambayo huijui!

Es!

- Ningekuwa ninajua ningesema tayari, kama hujui basi subiri wanaojua watakuja tu hapa maana this is JF na huyu RWakatare ni mgombea wa Chadema wapo wanaojua kilichotokea!

- Wengine mtanisamehe sana maana siwezi kujibu longo longo zisizo na tija kwa taifa, uchaguzi umeisha walioshindwa wameshindwa walioshinda wameshinda tunasonga mbele, hatuangalii nyuma ama sivyo tutaanza kulia lia kuibiwa kura ndio maana huwa tunaangalia mbeleee!

Es!

- Sawa sawa mkuu, pole pole tunasogelea ukweli, pamoja sana hapo!

Es!

blah blah style acha kujiuma uma wewe mimi nimesema kuwa wewe una majibu yako mfukoni then
unaleta mbwe mbwe hapa, fikisha tu ujumbe wako usikimbie kivuli chako
 
baada ya kutemwa na cuf, lwakatare alidhani kuhamia chadema angechaguliwa kuwa mbunge lakini wananchi wamempiga chini sasa hana cha kuongea na anahitaji msaada wa chadema angalau wampe kacheo fulani ili kumsitiri maana kwa kweli jamaa anaadhirika!!!!
haya ndiyo majibu yaliyo mfukoni mwako
- Nimesema sina muda wa kujibu longo longo zisizo na tija kwa taifa, pole sana mkuu!

Es!

hapa ni blah blah kama kawaida unatafuta wakufanana nae mawazo yako, sasa mimi ni lazima
nionekane ni adui kwako kwa kutokwenda sawa na utakavyo
 
Huyu katumwa nini mbona simwelewi inaonekana anafurahia lwakatare kushindwa, kama wewe ni CUF si ukawa ulize wenzio wakueleze kilicho tokea?
 
- Wakuu heshima mbele sana, naomba kuuliza vipi mgombea wa Chadema kule Bukoba, ambaye pia huko nyuma aliwahi kuwa mbunge, na pia aligombea tena mwaka huu kupitia Chadema Ndg. Rwakatare, mbona hakuna tena habari zake na huu uchaguzi? FMEs!
Baada ya kushndwa yuko dom anapeperusha bendera ya CHADEMA kwenye gari yake huku akishuhudia Kagasheki akiapishwa.
 
Jamaa kaweka bendera 2 za CDM kwenye gari anayoendesha. Dom panapendeza kwa vi2ko wiki 2 hizi.

- Mkuu ukimsogelea jamaa muulize vipi kule jimboni vipi mbona kakimbia kabla ya matokeo kutangazwa? Au alichukua mpango na kukiuza chama na wananchi waliompigia kura?

- Njaa bwana kweli inaua hata mchawi! Bwa! ha! ha!

Es!
 
Good thread, Lwakatare got sucker punches.... inanikumbusha ile ya mama kilango (chanjila) na uspika au ile ya mzee tingatinga/kibajaji (bambo) na dogo wetu lusinde... chanjila aliingia mitini na bamo alikutwa aking'oa mabomba kabla ya kuelekea mirembe

Good political treatment for good political muppets
 
Back
Top Bottom