Vipi Makada wa CCM hawashangilii laana za CCM kwa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vipi Makada wa CCM hawashangilii laana za CCM kwa CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bagamoyo, Mar 8, 2011.

 1. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,540
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  • ''Chadema wanahubiri mauaji''
  • ''Kumdhalilisha Rais wa nchi''.
  • ''kutaka kuingiza nchi ktk mauaji''
  • ''Chadema ifutwe''
  Video kwa hisani ya Dedichijr wa Youtube.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2011
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Na bado tutafanya maandamano kila mkoa hapa Tanzania kwani ni haki yetu kisheria. Tunafanya maandamano ya amani na yenye ujumbe wenye ukweli kwa Watanzania. Kwa maandamano tuliyofanya huko mikoa ya kaskazini tumevunja amani?. Uchafu wao unawekwa wazi wanaona aibu.
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  enzi hizi kuitetea CCM ni kujishushia hadhi sawa na kutembea uchi.

  wanaona aibu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...