Vipi leo Pinda Bungeni na mswali ya papo kwa papo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vipi leo Pinda Bungeni na mswali ya papo kwa papo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Jun 23, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Jamani leo kumejiri nini Bungeni kuhusu mswali ya papo kwa papo kwa PM? Ameyamudu maswali ama yule Mama kamuondoa kwenye ndoano?
   
 2. M

  Masuke JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Leo hapakuwa na maswali ya papo kwa papo, PM alikuwa anajiandaa na hotuba ya ofisi yake ambayo ameiwasilisha leo bungeni muda wa saa tano hadi saa saba.
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Duh - kasevu!
   
 4. Researcher

  Researcher Senior Member

  #4
  Jun 23, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nadhani swala la msingi ni uwezo wa serikali kutatua matatizo ya wananchi na si uwezo wa PM kujibu maswali bungeni.. Anaweza kujipanga kutoa majibu mazuri kisiasa lakini kama hakuna uwajibikaji bado isilete maana..na vile vile ashindwe kujibu kutokana na uelewa wake binafsi lakini kama kazi inafanyika bado ukweli unasimama.
   
Loading...