Vipi kuhusu uamuzi wa mahakama juu ya madabida

mdudu

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
6,952
9,854
Ndugu wana bodi habali za siku nyingi, napenda kuuliza juu ya uamuzi wa rufaa ya mahakama dhidi ya mwenyekiti wa zamani wa ccm mkoa wa Dar juu ya dhamana yake leo hii, mwenye taalifa naomba anijulishe kwa sasa nipo shambani.
 
Kanyimwa zamana karudishwa korokoroni kunyea ndoo
 
Back
Top Bottom