Vipi kuhusu sakata la twiga kutoroshwa?maafisa wa ikulu wadaiwa kuhusika.

kibugumo

JF-Expert Member
Jun 19, 2011
1,448
386
Habari zenyu bana?niliweka topic hapa jamvini leo asubuhi ikigusia mada tajwa hapo juu lakini ghafla
wana JF walipoanza kuchangia ikatoweka,vipi wazee kwani hapa napo pana uchakachuaji?Nijuzeni wakuu kwani ni mara yangu
ya kwanza leo kujitokeza kuchangia kama member wa JF.
 
Uchakachuaji sina uhakika nao lakini mada hiyo ni nzito ila Gazeti la Raia Mwema ambayo ndiyo source ya habari hii imesema kesi tayari iko mahakamani!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom