MPEKENYELA
Member
- Mar 7, 2019
- 28
- 65
Samahan wadau,
Kumekuwa na link inyosambazwa https://olas.heslb.go.tz/index.php/olas/user/register/repay?t=2 ukiingia inaonyesha deni tofauti na lile lililopo kwenye salary slip kwa wale walioanza kukatwa.
Je, hii ina maana gan? Kuna marekebisho tusubiri au huu mfumo hauna correlation na hazina? Je, huu mfumo ilikuwepo zamani? Na kama ilikuwepo wazoefu naomba kujua awali na sasa kuna mabadiliko yoyote ya madeni?
Mwenye uelewa tafadhali