Vipi kuhusu dawa ya wanasiasa wanaokalia majimbo kwa miaka nenda rudi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vipi kuhusu dawa ya wanasiasa wanaokalia majimbo kwa miaka nenda rudi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Malinga, Nov 10, 2009.

 1. M

  Malinga Member

  #1
  Nov 10, 2009
  Joined: Nov 9, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh Mbunge anapokalia jimbo kwa zaidi ya miaka 30, halafu hakuna lolote la maana alilolifanya! Je! kuna yeyote anaweza kunisaidia kuelewa kama chama tawala kina utaratibu wa kupima utendaji kazi wa Wabunge wake katika ngazi ya jimbo? Je! kuna namna yoyote ambayo mwananchi anaweza kumwajibisha mbunge wake, zaidi ya kusubiri ipite miaka mitano?

  Wabunge wengine wanakera!. Miaka 40 bungeni, lakini ukiangalia afya za majimbo hovyoooooooooooooooo!!!!.
   
Loading...