Vipi kauli ya Kagame kuwa Rwanda ingekuwa na bandari kama ya Dar, huduma zote Rwanda zingekuwa bure?

Vyombo mbalimbali vya habari viliripoti kuhusu kauli hii ya Raisi wa Rwanda Paul Kagame kuwa Kuwepo kwa Bandari ya Dar Tanzania ilipaswa kupaa kabisa kiuchumi hasa kutokana na kuzungukwa na nchi kadhaa zinazo tegemea kusafirisha mizigo yake .

Naomba unifahamishe chombo kimojawapo kabla sijachangia
 
Tangu niingie kwenye huu mjadala nimekuwa nikiwahoji what's so specia in Rwanda... hakuna hata mmoja aliyetaja!! Huyo jamaa anayejiita MAHORO anadai PK ametatua 90% ya matatizo ya Rwanda, nimemuuliza ikiwa miundombinu ya Rwanda ipo 90% good condition, elimu 90% fine, afya 90% fine, upatikanaji wa ajira 90%, n.k, hajajibu mpaka sasa!!

hawa kina mahoro ni watoto wa chuo wanasomeshwa na serikali. Sharti la scholarship ni kushinda kwenye social networks kumpamba kagame na chama tawala. Tatizo nahisi wamewekewa target wakati kagame hapambiki ndio maana sometimes inabidi waje na pumba kama hizo alimradi wapeleke report kuwa leo "wamefanya kazi". Habari zao ziko hapo kwenye file chini:

http://rwandansrights.org/wp-conten...-harass-in-the-name-of-dignity-APRIL-2013.pdf
 
jMali upo ndugu yangu? habari za siku nyingi? Naona unaendeleza fitna baada ya kuona jamaa zako wa FDLR wanatapatapa baada ya kukabwa koo. Si unajua deadline ni January 2015 kuondoka msituni makazi ya nyani. Sasa hivi mnasema you don't trust Monusco or the DRC government ha ha ha. Hivi had it not been for these two FDLR mngekuwepo mpaka leo kweli? Anyway, napita tu.
 
kwa lifestyle yetu , Kagame hatufai ,sie tumezoea short cut , sasa akija mtu wa type take kila mtu atamchukia.Utakuta libaba zima liko barabarani lina nunua cone ya Azam linaifungua halafu mfuko wake linautupa njiani.Ingekuwa Rwanda sijui wangemfanyaje mtu huyo.

Tunapiga faini ya Frw 50,000 sawa na shilingi laki moja ya kwenu. Haina mjadala.

Kwanza hayo mambo ya faini za usafi yanafanyika MJINI KIGALI TU, sio Rwanda nzima. Halafu kama suala ni hilo, mbona hiyo tayari inafanyika moshi? kwenye mkoa wa kilimanjaro ambao size yake pekee tayari ni nusu ya nchi nzima ya Rwanda?...Lakini husikii wabongo tunajisifia for that. mambo madogo tu hayo.

cc: NasDaz
 
Last edited by a moderator:
jMali upo ndugu yangu? habari za siku nyingi? Naona unaendeleza fitna baada ya kuona jamaa zako wa FDLR wanatapatapa baada ya kukabwa koo. Si unajua deadline ni January 2015 kuondoka msituni makazi ya nyani. Sasa hivi mnasema you don't trust Monusco or the DRC government ha ha ha. Hivi had it not been for these two FDLR mngekuwepo mpaka leo kweli? Anyway, napita tu.

nipo mtani, sa siku nyingi safi tu. Hao unaoita jamaa zangu FDLR, sio kwamba hawataki kuweka silaha chini au kurudi, ila wameleta genuine concerns kuhusu zoezi zima linavyoendelea. Kumbuka zoezi kama hili liliwahi kufanyika 2011, wakaweka silaha chini wakajiandaa kurudi, kagame akawafuata huko huko akawaua, na kwa vile hawakuwa na silaha aliwafanyia kweli kweli, like a coward he is.
Sasa hivi hawa jamaa wanachotaka ni guarantee kuwa watakuwa salama, ni hicho tu. Vinginevyo kama itabainika kuwa ni waongo, of course lazima tutawachapa kama tulivyowachapa M23, time will tell.
Halafu unasema eti presence ya Monusco na DRC government ndio imelea FDLR, don't you remember Rwandan invasion ya 1998-1999, mbona ILIFELI KUWAMALIZA FDLR? halafu baadae Rwanda ikarudi tena mwaka 1999 mpaka 2003, mbona miaka yote hiyo Rwanda ilifeli kuwamaliza hawa FDLR? Au kuna sababu nyingine (tukiacha wizi wa madini) ambayo Rwanda iliingia DRC tofauti na kuwamaliza hawa "interahamwe, FDLR,.."??? Mbona sisi tulichukua just weeks kupiga M23? why did it take more than 5 years for Rwanda?
FDLR sio creation ya monusco wala UN ni creation ya ujambazi wa kagame, kagame will have to deal with them, sisi concern yetu ni security ya DRC.
 
Kwanza hayo mambo ya faini za usafi yanafanyika MJINI KIGALI TU, sio Rwanda nzima. Halafu kama suala ni hilo, mbona hiyo tayari inafanyika moshi? kwenye mkoa wa kilimanjaro ambao size yake pekee tayari ni nusu ya nchi nzima ya Rwanda?...Lakini husikii wabongo tunajisifia for that. mambo madogo tu hayo.

cc: NasDaz

Mjisifie kwa lipi? Reasoning yako ni kama ya mbu. Yaani ni kama kusema eti mbona choo changu ni kisafi wakati nyumba nzima ni chafu...utajifia kweli...i don't blame you.
 
unastahili huruma wewe si mzima, maana umekubali pointi yangu lakini unanitukana mimi. Nyinyi ndio mnaojisifia usafi wa kigali kana kwamba kigali ndio Rwanda nzima. Nikasema Kigali ni safi, not the rest of Rwanda, ukitoka nje tu ya kigali unakutana na uchafu. Kigali yenyewe mpaka leo haina central sewage system! Nikasema kama suala ni mji msafi hata moshi nako ni kusafi na kuna sheria hizo hizo za faini. Nadhani umenielewa ndio maana umejitukana mwenyewe kuwa akili zako za mbu!
 
Huko Moshi still kuna taka uki compare na Kigali , hizo fines zinazokusanywa Moshi hamna zinachofanya , zaidi ya kuishia kwenye mikono ya mgambo ambao majority wamefanya ni njia ya mtaji.Lakini still Kigali ikikusanywa inaenda ilipolengwa sio mfukoni, Kwa hiyo bado wako JUU.Tukubali wenzetu wako juu kwenye suala la Rushwa.
 
Mwambie mkuu...jamaa yuko narrow minded sana

cc jMali
 
Last edited by a moderator:
jMali upo ndugu yangu? habari za siku nyingi? Naona unaendeleza fitna baada ya kuona jamaa zako wa FDLR wanatapatapa baada ya kukabwa koo. Si unajua deadline ni January 2015 kuondoka msituni makazi ya nyani. Sasa hivi mnasema you don't trust Monusco or the DRC government ha ha ha. Hivi had it not been for these two FDLR mngekuwepo mpaka leo kweli? Anyway, napita tu.

Asante saaana mkuu...hawezi kukujibu huyu interahamwe....

cc jMali
 
Last edited by a moderator:
hawa kina mahoro ni watoto wa chuo wanasomeshwa na serikali. Sharti la scholarship ni kushinda kwenye social networks kumpamba kagame na chama tawala. Tatizo nahisi wamewekewa target wakati kagame hapambiki ndio maana sometimes inabidi waje na pumba kama hizo alimradi wapeleke report kuwa leo "wamefanya kazi". Habari zao ziko hapo kwenye file chini:

http://rwandansrights.org/wp-content/uploads/2013/04/RWANDA-Harassed-to-harass-in-the-name-of-dignity-APRIL-2013.pdf

Yaani bila hata kusoma hizo pumba kwenye hiyo report, mtu yeyote msomi mwenye akili atajua kuwa hii so called report sio credible at all....angalia ukurasa wa nne kwenye "aknowledgement" hakuna majina ya watu waliofanyiwa hiyo so called "interview"...how do we know that it is not someone who just sat down and had enough time like jMali akaandika pumba from his imaginary world. I urge all to read this so called "report" with a pinch of salt.
 
Last edited by a moderator:
ukubwa wa eneo la bandari na sehemu ya bahari ni sawasawa na RWANDA .
 
Asante saaana mkuu...hawezi kukujibu huyu interahamwe....

cc jMali

Kiongozi huyu jamaa na wenzake wamekamatwa pabaya. Deadline imekaribia na sasa wanatapatapa wasijue la kufanya. Hawataki kurudi Rwanda kwa kuwa wanajua walihusika na Genocide. Monusco pamoja na unafiki wao wote wamechoka kuwabeba wauaji wale na sasa wamewageuka. Wa-Congo hawawataki kwa kuwa wamechoshwa na vitendo vya kidhalimu mikononi mwa FDLR ikiwemo uporaji, ubakaji, mauaji na ushetani mwingine. DRC government nayo imechoshwa na wizi wa madini ufanywao na FDLR (they make $71m a year from these shady mining and logging deals). Wamekamatwa pabaya sana jamaa zake jMali. Mwisho wa ubaya, aibu. Wapenda amani tunachekelea tu, just sitting back watching the show.
 
Mkuu, nilishawaambia kuwa the game of politics hawaiwezi...waendelee na porojo zao wawaachie wanaume tucheze on the world stage. Tangu hao wanajeshi wa SADC waingie kule congo, niliwaambia hawa wakina jMali kuwa wangoje tuone baada ya hiyo operation nani atakuwa winner. I think everyone can now see who is going to be the real winner. I rest my case.
 
Last edited by a moderator:
[h=1]EXCLUSIVE: FDLR commander in Tanzania since last week[/h] LaForge Fils Bazeye, the spokesman of the militia group in FDLR bases in eastern DR Congo

The executive secretary of Rwandan FDLR rebels Col Wilson Irategeka is guest of Tanzania’s government and staying at one of the known residences of controversial politician Rev Christophe Mtikila in Dar es Salaam.
Col Irategeka arrived in in Dar es Salaam on Friday 29[SUP]th[/SUP] August in the morning. The militia commander travelled early last week via Uvira (DR Congo), then Kigoma (Tanzania) and was flown by private chattered aircraft to Dar es Salaam, according to sources privy to the classified travel.
Irategeka first stayed at another location in the MIKOCHENI suburb of Dar es Salaam. On Monday night, he was moved to a large house owned by Rev Christophe Mtikila – who is accused in Tanzania as President Kikwete’s front man for destroying the opposition.
FLDR commanders and exiled Rwandan politicians are no strangers in Tanzania. News of Rwanda has published a series of articles since January this year detailing travels of Rwandan politicians.
First was former Rwandan premier Faustin Twagiramungu back in early January, and has since had two secret trips there. He was in Dar es Salaam from 19-23 January. Strangely, perhaps to gain some public relations points, Twagiramungu went public about his first trip – causing a massive diplomatic embarrassment to Tanzania.
The ex-premier arrived in Lyon France for a conference of his political organistion RDI Rwanda Rwiza which had been on schedule weeks before. The conference of about a dozen only selected party diehards took place 25 January (Saturday).
The 3-hr conference from 3pm (16hrs GMT) took place at Salle Halle in Grains at the address 61 Rue Président Salvador ALLENDE 69200 Vénissieux. Twagiramungu with pride informed his delegates that he had been to Tanzania on a “very important mission”.
Following sustained articles on News of Rwanda, the office of President Jakaya Kikwete released an angry statement to media accusing this website of fabricating the information to complicate Rwanda-Tanzania relations. The statement however did not dispute the factual elements in the stories.
Other top FDLR commanders have constantly used Tanzania as their second base, as the government in Rwanda’s large neighbor establishes itself as the current godfather for the militia group – which executed the genocide against Tutsis in Rwanda 20 years ago.
Meanwhile, Rev Mtikila’s house is regularly used as safe house for FDLR stay and transit. Two of the militia group’s Belgium-based officials Joseph Nzabonimpa and Faustin Murego were in Dar es Salaam in January 2013 to meet commanders from DR Congo jungles.
While in Dar es Salaam, they stayed at the same residence. According to UN Group of Experts report on DRC released on 24 January 2014, Reverend Mtikila confirmed to them that he had indeed hosted the FDLR officials when confronted with the facts. (See page 26-27 of report).
After hosting former premier Twagiramungu, then Theogene Rudasingwa of the Rwanda National Congress (RNC), Tanzania’s establishment also invited convicts of the International Criminal Tribunal for Rwanda (ICTR) including ex-army Rwanda commander Brig Gen Gratien Kabiligi. This new meeting was in late January.
It was meant to bring together FDLR executive secretary Lt Col Wilson Irategeka and Col Hamadi, the operations commander with Brig Gen Kabiligi who had come in from France. Several meetings took place on Friday 24[SUP]th[/SUP] January, while others were during the days which followed.
Relations between Kigali and Dar es Salaam have remained frosty since 26[SUP]th[/SUP] June 2013 when President Kikwete suggested at an African Union heads of state summit that President Kagame negotiates with FDLR rebels. Tanzania eventually sent troops to DR Congo which have been providing a protection buffer zone for the FDLR in the east.
 
EXCLUSIVE: FDLR commander in Tanzania since last week

LaForge Fils Bazeye, the spokesman of the militia group in FDLR bases in eastern DR Congo

The executive secretary of Rwandan FDLR rebels Col Wilson Irategeka is guest of Tanzania's government and staying at one of the known residences of controversial politician Rev Christophe Mtikila in Dar es Salaam.
Col Irategeka arrived in in Dar es Salaam on Friday 29[SUP]th[/SUP] August in the morning. The militia commander travelled early last week via Uvira (DR Congo), then Kigoma (Tanzania) and was flown by private chattered aircraft to Dar es Salaam, according to sources privy to the classified travel.
Irategeka first stayed at another location in the MIKOCHENI suburb of Dar es Salaam. On Monday night, he was moved to a large house owned by Rev Christophe Mtikila – who is accused in Tanzania as President Kikwete's front man for destroying the opposition.
FLDR commanders and exiled Rwandan politicians are no strangers in Tanzania. News of Rwanda has published a series of articles since January this year detailing travels of Rwandan politicians.
First was former Rwandan premier Faustin Twagiramungu back in early January, and has since had two secret trips there. He was in Dar es Salaam from 19-23 January. Strangely, perhaps to gain some public relations points, Twagiramungu went public about his first trip – causing a massive diplomatic embarrassment to Tanzania.
The ex-premier arrived in Lyon France for a conference of his political organistion RDI Rwanda Rwiza which had been on schedule weeks before. The conference of about a dozen only selected party diehards took place 25 January (Saturday).
The 3-hr conference from 3pm (16hrs GMT) took place at Salle Halle in Grains at the address 61 Rue Président Salvador ALLENDE 69200 Vénissieux. Twagiramungu with pride informed his delegates that he had been to Tanzania on a "very important mission".
Following sustained articles on News of Rwanda, the office of President Jakaya Kikwete released an angry statement to media accusing this website of fabricating the information to complicate Rwanda-Tanzania relations. The statement however did not dispute the factual elements in the stories.
Other top FDLR commanders have constantly used Tanzania as their second base, as the government in Rwanda's large neighbor establishes itself as the current godfather for the militia group – which executed the genocide against Tutsis in Rwanda 20 years ago.
Meanwhile, Rev Mtikila's house is regularly used as safe house for FDLR stay and transit. Two of the militia group's Belgium-based officials Joseph Nzabonimpa and Faustin Murego were in Dar es Salaam in January 2013 to meet commanders from DR Congo jungles.
While in Dar es Salaam, they stayed at the same residence. According to UN Group of Experts report on DRC released on 24 January 2014, Reverend Mtikila confirmed to them that he had indeed hosted the FDLR officials when confronted with the facts. (See page 26-27 of report).
After hosting former premier Twagiramungu, then Theogene Rudasingwa of the Rwanda National Congress (RNC), Tanzania's establishment also invited convicts of the International Criminal Tribunal for Rwanda (ICTR) including ex-army Rwanda commander Brig Gen Gratien Kabiligi. This new meeting was in late January.
It was meant to bring together FDLR executive secretary Lt Col Wilson Irategeka and Col Hamadi, the operations commander with Brig Gen Kabiligi who had come in from France. Several meetings took place on Friday 24[SUP]th[/SUP] January, while others were during the days which followed.
Relations between Kigali and Dar es Salaam have remained frosty since 26[SUP]th[/SUP] June 2013 when President Kikwete suggested at an African Union heads of state summit that President Kagame negotiates with FDLR rebels. Tanzania eventually sent troops to DR Congo which have been providing a protection buffer zone for the FDLR in the east.

cc jMali Koba
 
Last edited by a moderator:
tatizo la wabongo kutotoka nje ya nchi huyu mwizi kagame mnaemsifia huku kwake nae analalamikiwa sasa tu chako ni chako hata kama kibaya chake hakitu saidii

Ukweli ukisimama uongo hujitenga. Watu wengine mna akili za kuku
 
Yaani bila hata kusoma hizo pumba kwenye hiyo report, mtu yeyote msomi mwenye akili atajua kuwa hii so called report sio credible at all....angalia ukurasa wa nne kwenye "aknowledgement" hakuna majina ya watu waliofanyiwa hiyo so called "interview"...how do we know that it is not someone who just sat down and had enough time like jMali akaandika pumba from his imaginary world. I urge all to read this so called "report" with a pinch of salt.
ulitaka waandike majina yao ili iweje? are you serious? swala ni kutafuta je official curriculum ya huo mradi wenu inainclude hayo mambo waliyodai hao watu or not. That is the issue hapa, sio kumjadili whistle-blower.
 
Hii habari ingekuwa kweli Commanche si angeianzishia thread yake peke yake hii habari, yeye mwenyewe anajua newsofrwanda ni wapuuzi ndio maana hata huu uzushi anauweka katikati ya thread nyingine....Ni upumbavu kujadili newsOfRwanda, ambalo kwa "intelligence" na "investigative journalism" yake inaandika for a fact kuwa Rev Mtikila ni military officer cum Member of Parliament!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom