Vipi kama Shetani wa Pili Akamsaliti Mungu Tena

RGforever

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
6,878
5,424
Katika Hadithi za Biblia Shetani alimsaliti Mungu na Akatupwa Duniani ... Na Jamaa akawashawishi Malaika Nao wakamsaliti Mungu na Wengine Wakaamua Kushuka Kabisa naKuja Kusex na Binadamu... Na Tunaambiwa Taabu zote hizi ni kwa Sababu ya Dhambi zinazoletwa na Shetani kuwashawishi Binadamu..

Nimejiuliza Sasa Inakuwaj kama Akitokea Malaika Tena Mwingine akafanya Mgomo Huko Mbinguni itakuwa mana Kwa Wanawake wa Sa Hivi duuuh Malaika wanaweza Wkashuka Aiseee
8a452a354531fec4d2feb879106c8567.jpg
b274517b30a53a8f0c4c706e795b826f.jpg

f980cc5a2a7c35ba205310d329d46ff3.jpg
 
Ikiwa huyo shetani mmoja anakutesa kwa mabinti kama hao uliobandika picha zao hapo juu, akiongezeka shetani wa pili, roho itakutoka kabisa.....
 
Ikiwa huyo shetani mmoja anakutesa kwa mabinti kama hao uliobandika picha zao hapo juu, akiongezeka shetani wa pili, roho itakutoka kabisa.....
Sasa Akiongezeka Wa Pili Hata Mlokole lazima Awe Muhongaji
 
Hizi nadharia ziache hivi hivi Mungu na shetani wanajuana vizuri bifu zao tuumiao ni sisi
 
hata malaika wote mbinguni wakiasi mwisho wao ni mmoja tuu, kutupwa kwenye ziwa la moto milele. Si unajua hata wale wanadamu waadilifu watakuwa majaji wa hawa malaika waovu siku ile ya hukumu?
 
Shetani wa pili akimsaliti Mungu watakuja binadamu wasio na viungo vya uzazi...
 
Yawezekana huyo shetani namba mbili alikwisha tuwa duniani na labda kuna mashetani mpaka namba kumi na moja yaani ni kikosi cha timu ya Brazil akiwemo Pele ndio maana tunashuhudia hayo unayotuonesha. Ila inawezekana shetani tumetengeneza sisi wenyewe yaani ana exist kwenye minds zetu tu.

Ila heading ya thread yako na baadhi ya sentensi zibadilike kwani shetani tayari ni msaliliti na hawezi kukaa mbinguni kwa mujibu wa maandiko ya dini.
 
Back
Top Bottom