Vipi kama hawa watu walipandikizwa?

Katika watu wanaouharibu ulimwengu ni wanasiasa,

Unaweza mkajikuta mpo watu kumi Chadema, mkidhani mna nia moja kumbe nane kati yenu ni makada wa CCM. Baadae unasikia tu wameunga juhudi halafu mnaanza kuwalaumu eti wamenunuliwa hao wamerudi kwao.

Unadhani serikali ni jinga mpaka imteue nassari, au 'juakali' waongoze wilaya/mkoa. Yaani mtu atoke upinzani vuup! Afikie kuula CCM/Serikalini? Kama uliwaza hivyo ulikosea.

Mkae mkijua baada ya shetani anafuata mwanasiasa.

Ikiwa hivyo, itakuwa nchi ya ovyo sana. Yaani kipaumbele cha CCM/dola kiwe kuangamiza vyama vya upinzani vya Watanzania wenzao kwa covert methods? Halafu wasifiwe kwa ujinga huo?
 
Lengo kuu la chama cha siasa ni kushika dola,ili kishike dola lazima kiwe imara,ili kiwe imara ni lazima ivifanye vyama vingine viwe au vionekane dhaifu.
Katika utekelezaji wa hili ndipo mbinu mbalimbali ikiwemo niliyoitaja kwenye mada hutumika
 
Hivyo ccm mnaowachukua ,TOKA chadema msiamini Sana wenda pia ni tumepandikiza , CHADEMA SIO CHAMA CHA KITOTO , jua ilo , acheni kujiamini ,ipo siku mtakumbuka shuka kumekucha nawambia
Nikuhakikishie tu katika sehemu ambayo CCM IMEFUDHU ni katika intelijensia yake,na pili katika MBINU za kushinda UCHAGUZI
 
Mbinu gani za ushindi waongea zile zilizotumika 2020 ,za kuiba kura wazi wazi, kutoa mawakara wa vyama vingine nje ya vituo, kuengua watu kwamba walishindwa jaza form, kulazimisha pitisha wagombea ubunge bila kupingwa?

Hizi sio mbinu , bali ni unyanganyi wa wazi, Kama kweli chama kina intelijensia why Ccm ifanye Mambo ya wazi na aibu Katika chaguzi zilizopita,

Intelijensia ya ccm Kama chama ilikuepo angalau iliyokua inafanikisha wizi wa kura KWA kiwango cha juu Sana, ila ya Sasa walionayo ilishaishiwa mikakati , imebaki tegemea manguvu ya waziwazi KWA saidiwa na organ zingine za dola,
 
Ungemsikiliza Mch. Peter Msigwa usingeandika hili bandiko lako.

Ila Chopa kawa mkuu wa Wilaya ya Rorya
 
Mkuu usiropoke tu usichokijua...watu wanaozungumza Ni waliopo kwenye mifumo.Hii nchi Ni kubwa Sana...ulisikialo usilipuuze.yako maeneo unaambiwe wenyeviti wa vitongoji waliopitishwa bila kupingwa Ni chadema lakini kupitia ccm
Mwenyekiti wa Kijiji anasaidia nini?
 
Kwanini mkuu usiwe na wazo, hao unaosema wamenunuliwa ni wamewekwa vibaraka wa upinzani ndani ya chama tawala ili baadae iwe rahisi kupata uongozi?
 
Mbinu gani za ushindi waongea zile zilizotumika 2020 ,za kuiba kura wazi wazi, kutoa mawakara wa vyama vingine nje ya vituo, kuengua watu kwamba walishindwa jaza form, kulazimisha pitisha wagombea ubunge bila kupingwa?

Hizi sio mbinu , bali ni unyanganyi wa wazi, Kama kweli chama kina intelijensia why Ccm ifanye Mambo ya wazi na aibu Katika chaguzi zilizopita,

Intelijensia ya ccm Kama chama ilikuepo angalau iliyokua inafanikisha wizi wa kura KWA kiwango cha juu Sana, ila ya Sasa walionayo ilishaishiwa mikakati , imebaki tegemea manguvu ya waziwazi KWA saidiwa na organ zingine za dola,
Kwenye siasa ushindi ni ushindi bila kujali mazingira yanayojitokeza
 
Lengo kuu la chama cha siasa ni kushika dola,ili kishike dola lazima kiwe imara,ili kiwe imara ni lazima ivifanye vyama vingine viwe au vionekane dhaifu.
Katika utekelezaji wa hili ndipo mbinu mbalimbali ikiwemo niliyoitaja kwenye mada hutumika
Kwa kifupi, CCM kama chama dola hakina haja na tabu yote hiyo ili kushika dola. Kwao ushindi ni lazima. Mbinu kuu ni kwa NEC kupanga matokeo na kutangaza ushindi wa CCM kwa maagizo ya Mwenyekiti wa CCM, period.
 
Kwanini mkuu usiwe na wazo, hao unaosema wamenunuliwa ni wamewekwa vibaraka wa upinzani ndani ya chama tawala ili baadae iwe rahisi kupata uongozi?
Mkuu nimewaza hivyo sababu kuna watu baadhi ninawafahamu na nimesoma nao
 
Kwa kifupi, CCM kama chama dola hakina haja na tabu yote hiyo ili kushika dola. Kwao ushindi ni lazima. Mbinu kuu ni kwa NEC kupanga matokeo na kutangaza ushindi wa CCM kwa maagizo ya Mwenyekiti wa CCM, period.
Ujasusi ni muhimu mkuu hakuna chama kinachojiamini kuwa makini kwa asilimia 100,kwani vyama huongozwa binadamu ambao hawachelewi kukengeuka
 
Katika watu wanaouharibu ulimwengu ni wanasiasa,

Unaweza mkajikuta mpo watu kumi Chadema, mkidhani mna nia moja kumbe nane kati yenu ni makada wa CCM. Baadae unasikia tu wameunga juhudi halafu mnaanza kuwalaumu eti wamenunuliwa hao wamerudi kwao.

Unadhani serikali ni jinga mpaka imteue nassari, au 'juakali' waongoze wilaya/mkoa. Yaani mtu atoke upinzani vuup! Afikie kuula CCM/Serikalini? Kama uliwaza hivyo ulikosea.

Mkae mkijua baada ya shetani anafuata mwanasiasa.
Braza ongea taratibu basi sio lazima uianike

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Ungemsikiliza Mch. Peter Msigwa usingeandika hili bandiko lako.

Ila Chopa kawa mkuu wa Wilaya ya Rorya
Mkuu si kila kitokacho mdomoni mwa mwanasiasa unakibeba kama kilivyo,
Huyu huyu Nassari aliwahi kwenda mbele ya kamera akiwa na CD yeye na mwenzake wakidai eti ni ushaidi kumbe feki
 
Back
Top Bottom