Vipi huyu mtoto anajifunza kitu gani hapo?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,113
527601_322928637805907_94021757_n.jpg
 
hahahahah..hicho kitoto cha juu kabisa kinaonesha kipo bwax balaa
kimekunywa serengeti zote halafu unauliza anajifunza nn wakat kashazinywa hizo
 
Uwaga wanakuaga na akili sana wakuapo hao.................nina first hand experiance na hayo mavitu, no qualms kabisa.............i'm mother i know, unawafundisha watoto kutoyaogopa hayo mavitu
 
Mkuu Mzizimkavu umenitisha kwa vitu hivi. Kumbe watu wanaharibu watoto wao wenyewe. Lazima tujiulize hapa chanzo ni wazazi wao kutokana na familia za kilevi au kujisahau na ujinga?
 
Back
Top Bottom